Haya ndio malipo ya kiburi

Haya ndio malipo ya kiburi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Kuna dada mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, sdada huyo nilimwambia ukweli wangu lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake. Maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanaoigizi maisha sana.

Mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya dada yake kunikubali sana na kutaka nimuoe mdogo wake, lakini mambo ya kawa ndio hivi.

Huyo dada alikuwa jeuri kinoma sana, hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa hajibu salamu zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa ninatoa harufu mbaya. Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu

Kwasasa dada huyo ni mgonjwa, anaumwa sana wanasema ana matatizo ya ini. Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndiyo nahangaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia.

Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zimekuwa marashi mazuri kwake.

Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako, hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho.
 
Ndo maana kwa waislamu na wakatoliki mafundisho yao uwataka waumini wao wakatembelee makaburi wakasafishe makaburi. Hii Ina maana kubwa Sana maishani, usaidia kuondoa kiburi cha udunia, ukijua kwamba wewe ni mpangaji tu kesho utalala kama waliolala makaburini.
 
Mapenzi hisia kama mtu hana hisia na wewe chondechonde usipoteze muda wako.....lakini pia kwa sisi ambao mungu ametujaalia kujua na kusoma hisia za watu mwanamke anaekuhitaji kwenye maisha yake utamjua tu na anaekutamani ili muwe wapenzi wa muda nae utamjua tu zipo ishara 19 kukuonyesha kuwa mwanamke anakuhitaji kwenye maisha yake na pia zipo ishara 8 kukuonyesha kuwa mwanamke anakutamani kimapenzi tu😎😎😎
 
Kuna sister mmoja ambaye nilitokea kumpenda saana sister huyo nilimwambia ukweli wangu
Lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanao fake life saana mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya sister yake kunikubali saana na kutaka ni muoe mdogo wake lakini mambo ya kawa ndo hivi
Huyo sister alikuwa jeuri kinoma saana hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa Hajibu salam zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa nina towa harufu mbaya
Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu

Kwasasa sister huyo ni mgonjwa anaumwa saana wana sema ana matatizo ya ini
Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndo na angaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zime kuwa parfum nzuri kwake

Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho
msaidie tu. lakini ninakupa angalizo akipona, hata akurembulie vipi usikubali hata kuwa karibu naye.
 
Kujikomba huko kwa lipi hasa?
 
Mkuu usijali,huku kwetu mitumbwi ilikuwa inasaidia kuokoa ndege iliyozama ziwani kiroho safi tu.
 
Back
Top Bottom