Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,669
- 167,713
Hizi ni side effects za p2??? Tumekwisha!!!Hili ndo tatizo linaloangamiza sana mabinti kwa sasa(tunakunywa sana Dawa.....p2 mfululizo,na vidonge vingine vya kuzuia mimba

seriously yaanHizi ni side effects za p2??? Tumekwisha!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3] shikamoooForce awekewe hata ini la kondoo alafu pita hivi
Si mnashindana na waume zenu kuchepukaHizi ni side effects za p2??? Tumekwisha!!!
Ndio, kuna tatizo kwani? Au mnataka kuchepuka na wanaume wenzenu???Si mnashindana na waume zenu kuchepuka
Msaidie tu kwakuwa upo karibu nao na wanahitaji msaada wako. Ila Fanya kama ubinadamu tu. Usije ukahitaji fadhila zozote baadae kutoka kwao, fadhila kama upendo toka kwao n.k.Kuna sister mmoja ambaye nilitokea kumpenda saana sister huyo nilimwambia ukweli wangu
Lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanao fake life saana mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya sister yake kunikubali saana na kutaka ni muoe mdogo wake lakini mambo ya kawa ndio hivi.
Huyo sister alikuwa jeuri kinoma saana hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa Hajibu salam zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa nina towa harufu mbaya
Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu
Kwasasa sister huyo ni mgonjwa anaumwa saana wana sema ana matatizo ya ini.
Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndio nahangaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia.
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zime kuwa parfum nzuri kwake
Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho
Inawezekana pia. Asije akatarajia atafanyiwa makubwa yaliyo mazuri. Afanye kama msaada tu.Na akipona atazidi kukuona falaa tuu inawezekana hata salamu asikupee ..!! Hao ndo wanawake
Umejuaje To yeye? Maana kuna mmoja tumemzika juzi na alikuwa na bonge la mtako naye shida ni ini 🤔seriously yaan
Kwa hiyo alikua anagongwa sanaHili ndo tatizo linaloangamiza sana mabinti kwa sasa(tunakunywa sana Dawa.....p2 mfululizo,na vidonge vingine vya kuzuia mimba
Hii sio sahihiKAMWE USIMWONEE HURUMA mwanamke HATA UKIMKUTA ANATAKA KUFA USIMSAIDIE MWACHE AFE
Kwa hiyo unawasema wajamaa wa Instagram au unawataarifu waje wasaidie?Kuna sister mmoja ambaye nilitokea kumpenda saana sister huyo nilimwambia ukweli wangu