Kwema sanaNiko poa baba,kwema?
Umeandika ujumbe wa kumkebehi. Hajafanya kosa lolote kutokukubali wewe. Ni utashi wa moyo wake. Sasa unaandika ati alikufanyia kiburi na sasa wewe ndiye unayemsaidia. Sasa swali kwako mleta mada, yeye ndiye kakuomba huo msaada? Au umejisikia tu kujitolea. Kama umejisikia mwenyewe ndio iwe sababu ya kumbagaza hapa jukwaani? Vijana acheni kuleta threads zilizoathiriwa na foolish age yenu.Kuna dada mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, sdada huyo nilimwambia ukweli wangu lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake. Maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanaoigizi maisha sana.
Mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya dada yake kunikubali sana na kutaka nimuoe mdogo wake, lakini mambo ya kawa ndio hivi.
Huyo dada alikuwa jeuri kinoma sana, hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa hajibu salamu zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa ninatoa harufu mbaya. Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu
Kwasasa dada huyo ni mgonjwa, anaumwa sana wanasema ana matatizo ya ini. Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndiyo nahangaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia.
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zimekuwa marashi mazuri kwake.
Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako, hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho.
Natamani nigekuwa huyo mwana aliyekugonga mfululizo 😋😋😅.sasa mwaka Jana kuna miez nilisex mfululizo ikabidi p2 ninywe kila mwez(danger days) .....
Km filamu ya kanumbaKuna dada mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, sdada huyo nilimwambia ukweli wangu lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake. Maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanaoigizi maisha sana.
Mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya dada yake kunikubali sana na kutaka nimuoe mdogo wake, lakini mambo ya kawa ndio hivi.
Huyo dada alikuwa jeuri kinoma sana, hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa hajibu salamu zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa ninatoa harufu mbaya. Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu
Kwasasa dada huyo ni mgonjwa, anaumwa sana wanasema ana matatizo ya ini. Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndiyo nahangaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia.
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zimekuwa marashi mazuri kwake.
Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako, hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho.
Hata mim ndo nilivyomuelewa mleta uziMleta mada hajamaanisha kuwa ugonjwa alionao ndio malipo ya jeuri yake. Ila wale watu aliyewaona ni bora kwake hawaonekani kuwa msaada kwenye matatizo yake. Na alipoonyesha dharau ndo imekua kimbilio lake.
Konyo weNatamani nigekuwa huyo mwana aliyekugonga mfululizo 😋😋😅
Jumla ilikuwa miezi mingapi ulisex mfululizo?
mwanamke ndo binadamu wa kwanza kuongea na shetani uso kwa uso na hatujui waliagana nini na shetaniHii sio sahihi
Lakini kapenda mwenyewe kwenda kuuguza huko, hakuitwa. Kwa hiyo tuseme anajitolea asitegemee lolote.Na akipona atazidi kukuona falaa tuu inawezekana hata salamu asikupee ..!! Hao ndo wanawake
TatepaKuna dada mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, sdada huyo nilimwambia ukweli wangu lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake. Maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanaoigizi maisha sana.
Mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya dada yake kunikubali sana na kutaka nimuoe mdogo wake, lakini mambo ya kawa ndio hivi.
Huyo dada alikuwa jeuri kinoma sana, hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa hajibu salamu zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa ninatoa harufu mbaya. Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu
Kwasasa dada huyo ni mgonjwa, anaumwa sana wanasema ana matatizo ya ini. Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndiyo nahangaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia.
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zimekuwa marashi mazuri kwake.
Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako, hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho.
Mkuu huo ugonjwa wa ini hau husiani na kiburi chake, wapo waungwana na wacha Mungu wana ugonjwa huo. Ila nikuwa bado unampenda unaona umepata starting point.. Unadhani ndiyo atakuaoenda endelea kutafuta maumivu angalia usije kuua.Kuna dada mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, sdada huyo nilimwambia ukweli wangu lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake. Maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanaoigizi maisha sana.
Mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya dada yake kunikubali sana na kutaka nimuoe mdogo wake, lakini mambo ya kawa ndio hivi.
Huyo dada alikuwa jeuri kinoma sana, hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa hajibu salamu zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa ninatoa harufu mbaya. Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu
Kwasasa dada huyo ni mgonjwa, anaumwa sana wanasema ana matatizo ya ini. Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndiyo nahangaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia.
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zimekuwa marashi mazuri kwake.
Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako, hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho.
Duh umeniogopesha sana. Baby wangu naye alifululiza kunywa P2 yaani akaanza kuwashwa especially kwenye nyayo. Hila baadae akarecover.Ndo Dawa yangu ya uzazi wa mpango pale inapotokea nimesex hata kwa mwaka Mara moja....sasa mwaka Jana kuna miez nilisex mfululizo ikabidi p2 ninywe kila mwez(danger days) .....mwili ukaanza kuwasha sana...nikaenda hospital nikaulizwa Dawa gani umefululiza kunywa sana mwez huu...nikasema hakuna ila nimekunywa P2 kwa miez 3 yaan Mara 3....wakaniambia acha p2 ni Mara moja au mbili kwa mwaka.... Ukifululiza unasababisha ini lisifanye kaz vyema ivo dalili zake mwili kuwasha sana