Basi sawa hujatukana,ila jua kuwa hiyo ndege ni MBAYAAAAAAAAAAAAAA.Tusi likwapi hapo?
Andiko lako ni la kitoto mno: Mtu akisema kwa mfano kuwa mtu yeyote anayeshabikia CCM ni taahira utakubali? ana IQ below average utakubali? So avoid generalizations/sweeping statements! {"Watu wengi" and people close to you, where do you/they fall?)Kwani wewe umewasahau Wabongo? Ngoja nikukumbushe ni mara ngapi umemsikia Mtanzania akimcheka mtu anayeendesha Toyota vits au Nissan march wakati yeye anapanda daladala kila siku?
Au ulishawahi kumpa lift Mtanzania halafu akakwambia na wewe jaribu hata kununua gari kubwa kidogo ka, hivyo basi usishangae sana ni Intelligence, Watanzania wengi IQ 70 kwa nchi nje ya Afrika watu wana wastani wa kuanzia 85 nakuendelea hivyo ni shida ya intelligence, watu wetu wengi are just stupid huo ndiyo ukweli wenyewe ni hakuna kitu utafanya ingawaje inauma, too stupid for this earth!!
vilikuwa kwa fundi sijui kama vimeshatoka,maana mara ya mwisho vilikuwa juu ya mawe.Hivi zile dash zingine zilizonunuliwa hapo nyuma ziko wapi???
Moja ndiyo iliyokuwa pemba na raisi, au????
Karne ya 21 tunashangilia mapangaboi!
Ombi, it is shame kuwa karne ya 21 na 50+ years of huru watu tunashangilia mapanga boi! Shame on us!Usipime. Unaliona linavyozunguka. Kuna ajali ilitokea nchi fulani wakati wa kutua tairi ilipasuka...panga likagonga chini. Kipande kikaingia ndani. Abiria almanusura.
Andiko lako ni la kitoto mno: Mtu akisema kwa mfano kuwa mtu yeyote anayeshabikia CCM ni taahira utakubali? ana IQ below average utakubali? So avoid generalizations/sweeping statements! {"Watu wengi" and people close to you, where do you/they fall?)
Ni kuwa humu hatujuani, vinginevyo tungelitafutana tukafahamiana/ tukajua CV zetu. Si ajabu usingelijibu message zangu AND VICE VERSA.




We nawe huo mfano hata hauendani,ingekuwa hizo ndege ni za UGANDA kisha sisi waTZ tukazicheka huo mfano ulikuwa sawa,lakini ndege zimenunuliwa na pesa zetu lakini tunacheka kwa vile aliyetununulia ndio hakutuchagulia chaguo sahihi kwavile anajisifu kuwa yuko makini,lakini hapo kachemka.
Bila shaka nawewe upo humo.Ndiyo maana nikasema wastani wa IQ Tanzania 70 hivyo watu wengi ni stupid!
Jenga nyumba yako na uipambe rangi unayoitaka ww..Hiyo blue ilivyowekwa mbaya na pia huyo twiga kawekwa kienyeji mno, muonekano hauna mvuto! Ingekuwa tu all white na michirizo myembamba ya blue toka mbele hadi nyuma!
Watu kama nyinyi usikute ni kula kulala kwa shemeji yako lakn hapa nyuma ya keyboard mnajigamba utadhan ni loloteAisee,ni aibu kwa TZ yenye 50+ ya uhuru kuwa na kidude kama hiko,hivi hakipeperushwi na upepo kweli ??
Haina haja ya kubishana na jitu kama hilo hapo nafkiri umrshamuelewa kuwa akili yake inaendeshwa na nn ..watu Wa aina hiyo kazi yao ni kubeza na kukejeri wenzao wakat yeye ni ombaomba tuNi wapi nimetaja Chama cha siasa? Nimesema kwamba Wastaani wa IQ Tanzania ni 70, sasa hapo nimekosea wapi? Ina maana sehemu kubwa ya Watanzania ni stupid people, ndicho nilichosema na nikatoa mfano mtu anakucheka kwa kununua Vits ingawaje yeye hana hata hela ya kula, au ni mara ngapi humu zinakuja Mada kwamba gari fulani ni gari la kike na Mwanaume hapaswi kuendesha? Ni jamii gani tena Dunia uliwahi kusikia watu stupid na hoja stupid kama hizo? Sasa mambo ya CCM yanatokea wapi?
Tayari niahaipaka rangi nayotaka, haifichi ukweli waliochagua rangi kwa hii ndege ni "vipofu"!Jenga nyumba yako na uipambe rangi unayoitaka ww..
Hyo hapo wameichagua wenzako
Copy hiyo, wameshindwa kuzirudisha taili ndaniSasa hizo taili mbona ziko nje tu