Haya ndege hiyoooooo

Haya ndege hiyoooooo

Na kama yapo mambo mengi..kwanini wameenda kuleta haka kapicha??? Kwanini wasingepeleka ela kwenye mambo ya msingi zaidi?? Hata sijaona la maana hapo.....ajira hamna...mishaara inachelewa ...wanafunzi vyuoni wanalalamika ela za field...alafu bado tunaleta haka ka ndege!!! Au ni dili la mtu hili?
ilo bonge la ndege angalia kwenye site ya hizo ndege, uone uwezo wake..

utaona ni jinsi gani watu wanavyoongea sana wasioyajua humu mitandaoni
 
Duuuh sijaelewa hata unataka kuandika nini!!
io ndege ni kwaajili ya safari za ndani, shirika lilifilisika sio rahisi urudi na kuanza na ndege za gharama kubwa...

Na Utawala uliopo una miezi tu, hayo mashirika unayoyaona yana ndege za thamani kubwa haya kuanza na hizo...

nchi ina mambo mengi ya kushughulikia sasa unataka wawekeze kwenye ndege tu
Nakubaliana na hoja yako kabisa concern yangu mimi ni kwamba kwakuwa wenzetu wanakimbia hv sasa sisi ilibidi tupae ili tuweze kuwafikia...hata nyumbani hapa bado shirika litakutana na upinzani kutoka kwa mashirika yaliyopo kwahiyo ilibidi serikali iwekeze kuvutia abiria wengi kwenye ndege yake/zake ikiwemo kununua ndege bora...sasa kwa mwendo huu huoni kuna hatari ya kufilisika tena gharama za uendeshaji zitakapozidi mapato kutokana na ufinyu wa abiria...i stand corrected
 
kufeli kibiashara kuna sababu nyingi...

kama ushawahi kufanya biashara utaelewa..

kwa hizo ndege zitaweza kushindana kwa ndani ya nchi...

wafanye matangazo tu ya kutosha
 
kufeli kibiashara kuna sababu nyingi...

kama ushawahi kufanya biashara utaelewa..

kwa hizo ndege zitaweza kushindana kwa ndani ya nchi...

wafanye matangazo tu ya kutosha
kwa vyovyote vile- kwakweli natamani zifanikiwe na shirika letu la ndege lichukue nafasi yake hapa Africa Mashariki , ngoja tujipe muda
 
Baada ya miaka 50+ ya uhuru tunaleteana kapicha ka photoshop eti ndege inapaa!!!!

Japo wanasema paul kagame hataki kuachia madaraka lakini ameweka juhudi mpaka wametuacha sisi tukia na kipicha cha ndege!!! Ethiopia na kenya wote wametuacha ...sisi bado tupo na kipicha cha ndege inayopaa!!!

Hii ndege haina hata uwezo wa kwenda hapo kenya achilia mbali japan...usa...europe!!! Yanu ni ya mwanza...kilimanjaro dar...morogoro daaah!!
Wewe umesaau kua tulikua tayari kuchelewesha uhuru wetu ili wengine nao wapate sasa washangaa nini
 
Nilipo pokea mshahara wangu wa kwanza,kila kitu nilitaka kununua,nikajikuta nanunua vitu vya kitoto,yaani nikikumbuka kwa sasa damu inanisisimka.
 
kwa mliopanda ndege mtujuze ukiwa siti ya sita dirishani hapo kutoka kwa kondakta wa mlango wa mbele kelele za hilo pangaboi hauzisikii😕

Mkuu ni kawaida tu. Nishaga plant precision ina hzo propellers na nilkaa siti kama hyo ya sita hapo. Kizur ni kuwa unakuta unashangaa mawingu ckuwaza kama kuna kelele
 
Wengi wanaoiponda hii ndege Nina uhakika hawajawahi kupanda ndege
 
haina fofauti na kile kivuko kilichopaki uwanjani kwake
 
Back
Top Bottom