Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Hizi ndege zitaenda chato na kwa mugabe over.
Ww unayeona ambaye sio kipofu umefanya lipi lenye maana zaidi ya maneno jfTayari niahaipaka rangi nayotaka, haifichi ukweli waliochagua rangi kwa hii ndege ni "vipofu"!
Baada ya miaka 50+ ya uhuru tunaleteana kapicha ka photoshop eti ndege inapaa!!!!
Japo wanasema paul kagame hataki kuachia madaraka lakini ameweka juhudi mpaka wametuacha sisi tukia na kipicha cha ndege!!! Ethiopia na kenya wote wametuacha ...sisi bado tupo na kipicha cha ndege inayopaa!!!
Hii ndege haina hata uwezo wa kwenda hapo kenya achilia mbali japan...usa...europe!!! Yanu ni ya mwanza...kilimanjaro dar...morogoro daaah!!
Una akili timamu? Ndege ina miguu?Wa hiyo mkuu unataka kusema kwamba imekuja kwa miguu kutoka canada?
Mkuu hao jamaa kila kitu kwao Ni kibaya!watu wana ufinyu wa fikra, wamekaa kukosoa tu, Air Berlin baadhi ya safari wanatumia hizo ndege pia makampuni mengine makubwa kama ethiopia na mengine ya canada
Una akili timamu? Ndege ina miguu?
Kwa shemeji yangu mimi, halafu wewe unaumia si uchizi huo.......mi nilidhani utasema nakuja kula kwa shemeji yako wewe ???Watu kama nyinyi usikute ni kula kulala kwa shemeji yako lakn hapa nyuma ya keyboard mnajigamba utadhan ni lolote






R.I.P Mwl Julius Kambarage Nyerere!Kuna statesman mnoja aliwahi kusema zuzu haliwezi kutofautisha vipande vya chupa na almasi ;nadhani alikuwa na maana fulani !!
io ndege ni kwaajili ya safari za ndani, shirika lilifilisika sio rahisi urudi na kuanza na ndege za gharama kubwa...
Na Utawala uliopo una miezi tu, hayo mashirika unayoyaona yana ndege za thamani kubwa haya kuanza na hizo...
nchi ina mambo mengi ya kushughulikia sasa unataka wawekeze kwenye ndege tu