kirabe
JF-Expert Member
- Jan 29, 2015
- 434
- 301
Tujaribu hata kuona haya madogo kwanza, mambo mazuri yatakuja tu.Nafurahi sana kusoma comment ya namna hii, mkuu wewe una mtazamo makini!! Watz wengi wamekalia kuponda tu bila kujali hali ya shirika letu ilivyokuwa, wanadhani mafanikio yanakuja overnight!!