jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Sisi tumeiponda ndege, wewe umetuponda sisi tulioiponda ndege kwa kwa kosa la kuiponda ndege ukatukejeli kwa misamiati ya Didas M.Watanzania wenzangu jifunzeni tabia ya kudadisi vitu kwa kina, kupata uelewa wa vitu, kuainisha mapungufu na kupendekeza solutions, vile vile the tujifunze kuwapa wengine moyo pale wanapojaribu jambo fulani. Tabia za kubeza na kukebehi bila hata kujua jambo lenyewe, mnapotea ni tabia za kichawi na stone ages, jaribuni kubadilika japo kidogo, hizi ni zama za technology kubwa inayokuwa kwa kasi. Mfano wengi wenu humu mnabeza ndege hizi lakini hamjui hata zinafaida gani au upungufu gani, yaani nyinyi ni watu wa kuzomea tu tena mambo msiyoyajua bali kwa kusikia tu, mpo na kimbelembele cha kushabikia vitu vya watu huku mkiponda vya kwenu. Mtu hata kujitahidi tu kufungua website ya kampuni iliyotengeneza ndege hiyo na kujua kwamba ukikaa karibu na hilo pangaboi hakuna shida, hamuwezi unakalisha makalio yako na kupuuza jitihada za wenzako bila hata kujisumbua, shame on you guys.
Sasa wasomaji hapa nani ana afadhali.