Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,036
kwaio hako kapanga boi hakazunguki hata ikiwa angani?
wajinga wasifie huu upuuzi!
kwaio hako kapanga boi hakazunguki hata ikiwa angani?
Yap, nilijaribu kupita kwenye website yao kusomo baadhi ya vitu ilivyo navyo io ndegeKm 900 si dar mwanza ndugu
Wengi wanaoiponda hii ndege Nina uhakika hawajawahi kupanda ndege
Hizo ndege hadi zifike hapa Tz kutoka huko ziliko kuna km ngapi?Ndege hizo zina safiri moja kwa moja kwa kama 900km bila kupumzika
S.A service..nako si hapa!Hayo masafa mpaka vifike duh hukawii kuskia vinahitaji service kwanza South Africa...ndio vianze kazi![]()
Ndugu yangu sijajua, ila najaribu kusoma soma mitandaoni nizieleweHizo ndege hadi zifike hapa Tz kutoka huko ziliko kuna km ngapi?
Je hazitavuka bahari eneo lenye zaidi ya km 900? Zitapumzika wapi..?
Kuna watu wanakosoa tu wakat hata kupanda kwenyewe hawajawahi na wengne wanaishia kuziona angani tu lakn hapa wanajifanya wanajuaaawatu wana ufinyu wa fikra, wamekaa kukosoa tu, Air Berlin baadhi ya safari wanatumia hizo ndege pia makampuni mengine makubwa kama ethiopia na mengine ya canada
Kama wewe tuHaina mvuto
From BKKandege gani haka....!
What's your proposed solution?Baada ya miaka 50+ ya uhuru tunaleteana kapicha ka photoshop eti ndege inapaa!!!!
Japo wanasema paul kagame hataki kuachia madaraka lakini ameweka juhudi mpaka wametuacha sisi tukia na kipicha cha ndege!!! Ethiopia na kenya wote wametuacha ...sisi bado tupo na kipicha cha ndege inayopaa!!!
Hii ndege haina hata uwezo wa kwenda hapo kenya achilia mbali japan...usa...europe!!! Yanu ni ya mwanza...kilimanjaro dar...morogoro daaah!!
NonsenseUkweli utabaki palepale...Magufuli ni kiongozi wa tofauti sana.
Miaka mitano ni ya mabadiliko makubwa sana.
Unajua maana yake hilo neno mkuu au umekariri tu?Nonsense
Hata kama!!!Kama wewe tu
Watanzania wenzangu jifunzeni tabia ya kudadisi vitu kwa kina, kupata uelewa wa vitu, kuainisha mapungufu na kupendekeza solutions, vile vile the tujifunze kuwapa wengine moyo pale wanapojaribu jambo fulani. Tabia za kubeza na kukebehi bila hata kujua jambo lenyewe, mnapotea ni tabia za kichawi na stone ages, jaribuni kubadilika japo kidogo, hizi ni zama za technology kubwa inayokuwa kwa kasi. Mfano wengi wenu humu mnabeza ndege hizi lakini hamjui hata zinafaida gani au upungufu gani, yaani nyinyi ni watu wa kuzomea tu tena mambo msiyoyajua bali kwa kusikia tu, mpo na kimbelembele cha kushabikia vitu vya watu huku mkiponda vya kwenu. Mtu hata kujitahidi tu kufungua website ya kampuni iliyotengeneza ndege hiyo na kujua kwamba ukikaa karibu na hilo pangaboi hakuna shida, hamuwezi unakalisha makalio yako na kupuuza jitihada za wenzako bila hata kujisumbua, shame on you guys.
labda inatua mkuuSasa hizo taili mbona ziko nje tu