Haya matunda yanaitwaje kwa lugha ya kwenu?

Haya matunda yanaitwaje kwa lugha ya kwenu?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,603
Reaction score
22,717
Sisi kwetu yanaitwa amasharazi na ni moja ya matunda ninayoyapenda sana.

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • Masharazi.JPG
    Masharazi.JPG
    24.7 KB · Views: 1,482
  • masharazi2.jpg
    masharazi2.jpg
    9.5 KB · Views: 1,424
Kwetu huwa wanaotesha zaidi mipakani na majani yake yapendwa sana na mbuzi miti yake imenyooka inatengeneza kitu kinaitwa mtemu na michezo enzi hizoo watoto majani yake walikuwa wanayatumia kama ndege kwa wachaga hapa mmenisoma.
 
Halafu haya ile dawa ya majaribio ya Ebola ndio wanayatumia.
 
Sisi kwetu yanaitwa amasharazi na ni moja ya matunda ninayoyapenda sana.

attachment.php


attachment.php

Ukinijibu jina la haya niliyokuonesha mie nitakupa jibu la hayo ya kwako....
 

Attachments

  • IMG-20140822-WA0003.jpg
    IMG-20140822-WA0003.jpg
    61 KB · Views: 333
  • IMG-20140822-WA0005.jpg
    IMG-20140822-WA0005.jpg
    58.2 KB · Views: 327
Kwetu huwa wanaotesha zaidi mipakani na majani yake yapendwa sana na mbuzi miti yake imenyooka inatengeneza kitu kinaitwa mtemu na michezo enzi hizoo watoto majani yake walikuwa wanayatumia kama ndege kwa wachaga hapa mmenisoma.

Umeona eeeh miti yake hata uko kwetu inapandwa kwenye mipaka ya mashamba.
 
Ukinijibu jina la haya niliyokuonesha mie nitakupa jibu la hayo ya kwako....

Mbona kama binadamu hivi? Yanaitwa human shaped fruit nimeyaona sana thailand na huwa yanatoa matunda kila baada ya miaka 20.
 
Back
Top Bottom