Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Unamaanisha mpenzi yani mtu ulonae kweny mahusiano bila shaka.
Kuna marafik, ndugu na jamaa, wanaweza kukuthamini kuliko hata manzi ako.
Ni uchaguzi wako tu, uchague upendo wa jitu lililopo kwa ajili ya maslahi binafsi au mwenye upendo wa kweli na ww.

T
Hawawezi kuliziba pengo la mpenzi wako unafikiri hao wapweke hawana hao watu uliowataja
 
Hawawezi kuliziba pengo la mpenzi wako unafikiri hao wapweke hawana hao watu uliowataja
Ukiendekeza mapenzi matunda yake ni hayo.
Kila mtu ana mtu wake tofauti kabisa na huyo mchumba sijui kitu gani.
Ukijua umuhimu wako utajua ni nani anafaa kua rfk kwako ni nani mnaheshimiana sana, Mtu huyo haoni msahada, ushauri kwingine tofauti na ww.
Hapo ndipo unafaa kuwa kwa sabb ya unafuu wa moyo,
Ukisema mpenzi 😊😊 kuna namna huyo mpenzi yupo hapo kama sio kipesa basi lipo lingine la zaid.
 
Ukiwa introvert utakufa kibudu 🤣!!!

Kama unaona kuishi na mtu kero atleast zaa watoto uishi nao mjengoni.
Unakufa kama kuku mwenye malalia bandani. Kumbe ulichotakiwa ni mtu akupepee tu. Napenda sana kukaa Mwenyewe ila kwa hili I have to reconsider my doings.
 
I don't know sir, it's so sad and super creepy 😟
Care to enlight me on this??
Mwili wake uligunduliwa miaka minne baadae. Alifia kwenye kitanda chake mwaka 2018. NIGERIA ..

Alikuwa Engineer alipata shida na wife wake wakatengana. Wife alikuwa akiishi port harcout...mwamba akaenda ishi Oyo state. Akajenga nyumba yake huko Oyo akiindelea na kazi .. hakua mtu wa kujichanganya kabisa...kama ulivyosema, a loner.

Walipata mtoto mmoja na mke wake, binti ila alienda marekani.. so mzee akawa detached completely na familia yake. Hakuwa na story na majirani ..wala kazini zaidi ya fundi aliyekuwa akimjengea nyumba.

Alikuwa na pressure maana vilikutwa vidonge pembeni.. so katoka ktk mishe zake siku moja kapumzika... Labda alipata stroke.. akaenda moja kwa moja..
Mwaka wa kwanza ukapita...wa pili...wa tatu..wa nne..

Majirani wakashangaa mbona hii nyumba inazidi kuwa msitu... Serikali ya mtaa wakajipanga wafuatilie kulikoni... Walipoanza safisa eneo wakakuta gari nayo ishaanza pigwa kutu... Kwa mbali wakagundua mlango uko wazi... Kwenda kusukuma dirisha ndo wakamuona mzee kalala ka hivyo..
Sad story.
So wakaanza kutafuta ndugu na nini...mambo kibao. Familia ilipatikana baadae after a police struggle..

So kama unavyosema, u loner ukizidi ni ishu.. we have to check on each other.. walau hata kama ni ugenini tafuta mshikaji mmoja tu wa kuwa close.. just in case.
 
Daaah Such a tragedy 😟
Stori imefanana na yule dada aliyefariki akiwa kakaa tv imewaka for 2 yrs. Nayeye alianza kujitenga na watu hivyo hivyo...alikata njia zote za mawasiliano na watu wanaomfahamu. Hakutaka ajulikane alipo wala kujuana na majirani. The rest i history
 
Sad.
 
I hope y'all are doing just fine, and so Do I.

Straight kwenye mada...
#1:
4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa akiugua ugua ila alitoa taarifa kwenye uongozi wake wa Choir, back then nami nilipenda kushiriki shiriki masuala ya kanisani. Ndipo nilipomjulia huyu mtu japo tulikua maeneo tofauti but... kulikua na taratibu zilizowekwa na makasisi kwamba kila mwisho wa mwezi wahudumu wa kutoka Vigango mbalimbali katika parokia yetu wanakutana.

So that Guy....alikua mgonjwa mgonjwa but he was a loner and eligible bachelor. Alifariki akiwa chumbani kwake aligundulika after 3 days. So Sad!😟😢

#2:
Wiki hii kuna mtu nilienda kumtembelea eneo xxxxx nyumba ya 5 kutoka tulipokua tukasikia kelele watu wanalia na kupiga ukunga. Ikabidi tuende kufaham tatizo ni nini....O my G it was a scarest thing you'll ever see. tulikuta mtu kafariki kajifungia ndani. Alijilaza tu akapitiliza siku 4 haijagundulika kashavimba hata kumuinua haiwezekani.

Naye pia inasemekana alikua anatabia ya upweke upweke. May The almighty rest his/her poor soul😟
___
See, I also have this inclination and demeanour of being loner and Unsocial.
I don't like to be noticed and cared, I just like to be nobody and always to be the guy in the Corner that no one knows. When someone would ask who that guy(me) and others will answer... That's just a guy in the Corner.

Sipendi Kusema nimeenda wapi, sipendi kuulizwa upo wapi, sipendi kuulizwa vipi haliyo unaendeleaje, Sipendi Kuambiwa Pole. Sipendi kuambiwa All gonna be alright, sipendi kuambiwa I miss you, Sipendi kuambiwa So and So Napenda niwe mimi tu Just me☺️🤗

But hayo matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu hizi. I think I neef to recalibrate my Behavior.
Wito.
Mnaokataa ndoa angalieni yasiwakute hayo matukio unaumwa getho huna hata wa kumtuma Paracetamol pharmacy unakufa ukiwa unajiona. Mwenye ubongo na ajitafakari!

View attachment 2529893
Sio kwamba napinga ndoa ila kila mtu na maamuzi yake ni bora kila mtu afuate anachofuata bila kumu influence yeyote mwisho wa siku kila mtu na maisha yake.

Anyways Kuoa haikufanyi ufe ukiwa umezungukwa na watu kifo ni Mungu anapanga na yeye ndiye anajua amekupangia ufe ukiwa katika mazingira gani hasa , na hakuna kifo kinatokea kwa bahati mbaya.

Hata hivyo ilishatabiriwa kama dalili moja wapo ya siku za mwisho(kiama) moja ya maswahaba wa mtume muhammad (radhi za Allah ziwe juu yake) Amenukuu maneno yake akisema.

Anas narrated that the Prophet(peace be upon him) said: "Among the signs that the Last Hour is near, is that the crescent would appear larger than its actual size and people would say: “It appears as if it is only two days old.”, and the mosques will be taken as streets, and sudden death will spread.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom