Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Mke wa tatu wa babu mkubwa hakubahatikaga kupata uzao. So babu alivyofariki, wajomba wakawa wanapeleka chakula tu lakin hakuna alietakaga kumchukua kuishi nae. All this kwa sabbu ya migogoro ya kifamilia.

Siku katika kukutana kimisiba, mtu akamuuliza hivi bibi unaishi mwenyewe kweli? Bibi akajibu " ndio naishi mwenyewe hata siku nikifa nitakutwa mdomo wazi haujajifunga maana hakutakuwa na wa kuufumba." Ikaishia hapo. Mwaka mmoja baada ya bibi kutamka hayo maneno kweli ikatokea kama alivyosema. Mwili wake ulikutwa ndani baada ya majirani kutomuona kwa siku tatu. Mlango kuvunjwa, akakutwa alishafariki kitambo mwili unatoa harufu.

Kuna mjomba wangu mmoja nae anapiga mishe za machimbo ya madini. Aliwahi pata shangazi lakin akaachana nae maana alimzingua. So mpaka sasa na miaka yake 65 hanaga mke. Anaishigi mwenyewe tu. Sasa kuna siku katoka mihangaikoni, akawa kanunua nyama. Akaingia ndani akaibandika kwenye jiko la gesi. Akakaa kitandani akapitiwa na usingizi.

Anaishi chumba kimoja. Ile nyama ikachemka mpaka ikaungua. Mara watu wanaona moshi. Gonga hodi sana no reponse. Wakaona hapa tutaungua wote. Ndo mlango kuvunjwa, moto ulikua ushashika kwenye vikaratasi vya kwenye chumba. Ndo watu kumuamsha, kuzima jiko, kulitoa nje. Almanusura nyumba ingewaka na yeye angefia ndani. Mpaka leo maisha yake its still a puzzle.

Yes kuwa introvert ni vizuri lakini atleast uwe na mmoja wa kukufahamu kiundani. Kila kitu ni risky. Choose your danger wisely...
 
Oshey Mrs 💰
 
I hope y'all are doing just fine, and so Do I.

Straight kwenye mada...
#1:
4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa akiugua ugua ila alitoa taarifa kwenye uongozi wake wa Choir, back then nami nilipenda kushiriki shiriki masuala ya kanisani. Ndipo nilipomjulia huyu mtu japo tulikua maeneo tofauti but... kulikua na taratibu zilizowekwa na makasisi kwamba kila mwisho wa mwezi wahudumu wa kutoka Vigango mbalimbali katika parokia yetu wanakutana.

So that Guy....alikua mgonjwa mgonjwa but he was a loner and eligible bachelor. Alifariki akiwa chumbani kwake aligundulika after 3 days. So Sad!😟😢

#2:
Wiki hii kuna mtu nilienda kumtembelea eneo xxxxx nyumba ya 5 kutoka tulipokua tukasikia kelele watu wanalia na kupiga ukunga. Ikabidi tuende kufaham tatizo ni nini....O my G it was a scarest thing you'll ever see. tulikuta mtu kafariki kajifungia ndani. Alijilaza tu akapitiliza siku 4 haijagundulika kashavimba hata kumuinua haiwezekani.

Naye pia inasemekana alikua anatabia ya upweke upweke. May The almighty rest his/her poor soul😟
___
See, I also have this inclination and demeanour of being loner and Unsocial.
I don't like to be noticed and cared, I just like to be nobody and always to be the guy in the Corner that no one knows. When someone would ask who that guy(me) and others will answer... That's just a guy in the Corner.

Sipendi Kusema nimeenda wapi, sipendi kuulizwa upo wapi, sipendi kuulizwa vipi haliyo unaendeleaje, Sipendi Kuambiwa Pole. Sipendi kuambiwa All gonna be alright, sipendi kuambiwa I miss you, Sipendi kuambiwa So and So Napenda niwe mimi tu Just me☺️🤗

But hayo matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu hizi. I think I neef to recalibrate my Behavior.
Wito.
Mnaokataa ndoa angalieni yasiwakute hayo matukio unaumwa getho huna hata wa kumtuma Paracetamol pharmacy unakufa ukiwa unajiona. Mwenye ubongo na ajitafakari!

View attachment 2529893
Mwaka 2021 nlipoteza rafikiangu mkubwa sana wa utotoni adi ujanani wetu.
Nakumbuka alifia geton kwake kajilaza kwenye sofa lake, niliumia sana
Miezi sita mbele mama yake akamlazimisha kaka wa marehemu kuoa kwa lazma ili yasmkute ya kufia geto huku unajiona
 
Kweny maisha lazima uwe na mtu ambae asipoona simu yako siku hyo au ww usipoona yake unahisi kupungukiwa.
Sio lazima awe ni mchumba ako, Mtu huyo anaweza kua yyte yule ambae anajali, anaupendo, kuna baadhi ya vitu mnafanana na kuheshimiana.
Kazi ya kutafuta mtu wa namna hyo si ngum kwa sabb watu wa namna hyo tunao kila siku kweny maisha yetu ni swala la kutambua tu.

Binadamu tukipendana, tukashirikiana, tukashirikishana matatizo yetu na kufarijiana kutapunguza vifo vya namna hyo.
Atakayeweza kufanya hivi ni mpenzi wako
 
Mwaka 2021 nlipoteza rafikiangu mkubwa sana wa utotoni adi ujanani wetu.
Nakumbuka alifia geton kwake kajilaza kwenye sofa lake, niliumia sana
Miezi sita mbele mama yake akamlazimisha kaka wa marehemu kuoa kwa lazma ili yasmkute ya kufia geto huku unajiona
Aiseee msitutishe basi daah kwaiyo sisi tunaojifungia wiki hatutoki itakuwaje sasa daaah 😔😑
 
Ukweli ni kwamba uwe introvert au xtrovert utakufa tu!!!!

Uwe unaishi pekeako au uishi na mke/mume still ukifa utaoza tu

nothing exceptional,,, yaan uishi na mtu eti kisa atoe taarifa siku ukifa,, vp yeye ndo akatangulia kufa??? Vp ukifa yy akiwa kasafiri??????
 
[BOLD]Ukweli ni kwamba uwe introvert au xtrovert utakufa tu!!!![/BOLD]

Uwe unaishi pekeako au uishi na mke/mume still ukifa utaoza tu

nothing exceptional,,, yaan uishi na mtu eti kisa atoe taarifa siku ukifa,, vp yeye ndo akatangulia kufa??? Vp ukifa yy akiwa kasafiri??????
Ni kweli kilamtu ataonja umauti, ila upweke sio kitu kizur katika maisha haya tunayoishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom