Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 1,934
- 1,400
Pole sana Mr. Dry! Nakushauri kaa chini na huyo binti ongea nae kuhusiana na urafiki wenu na una nia gani naye ya hapo baadaye. Nahisi huyo binti atakuwa bado mdogo na ana akili za kitoto. Ukiona bado anaendelea na hiyo tabia achana nae, utapata tu mwingine kwani "mke mwema hutoka kwa Mungu"!