Haya maneno hata watu wazima siku hizi wanayatumia kuelezea kitendo pendwa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
haya ni maneno ambayo siku hizi hata watu wazima huyatumia au wanayajua so inabidi kubadilisha unapokuwa unaongea mbele yao ikiwa unataka kuwaficha bila hivyo watakuelewa unazungumzia nini. Kumbuka ile video/audio ya kikwete aliposema " ukila lazima nawe uliwe" wabunge/wanasiasa watu wazima walicheka sana na yeye pia akagundua akasema hana maana "hiyo" maana hiyo ipi?????? umewah kujiuliza ni maana ipi? so jiangalie kama unatumia maneno haya hata mbele ya babu/bibi yako unaweza kuta anakuchora tu

1.kukamua - kufanya sex
2.tia - kufanya sex
3.kumla demu -kufanya sex na msichana
4. kumgonga demu -kufanya sex na msichana
5. kumlamba - kufanya sex
6. kucheza game -kufanya sex
7.kumkaza -kufanya sex
Unaweza ongezea na wewe yako mengine unayotumia au uliyowah yasikia

pia kuna maneno mengine kama
1.kucheza pool. kupiga punyeto
2.kula jicho-
3.kula tigo-
4.kula nyota
5.kula mgongo

mengine ni....
1.kuingia chumvini- kumnyonya mwanamke sehem zake za kificho
2.kwenda baharini - kumnyonya mwanamke sehem zake za kificho

ongezea nawe mengine
 
Hii thread lazima itafika page ya 40 kwa leo tu na wachangiaji asilimia 90 ni memba wa ukawa.
 
Kula mzigo...
Kushusha injini..
Kufumua...
Kukwichikwichi..
Kutoa ganzi...
Kuvunja ya sita...
Kumpa mambo...
Kukojoza...
Kuunga vikojoleo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom