gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,143
- 1,390
Hizo ni bendi sio bongoflevaNUTA Jazz
Kilwa Jazz
Tabora Jazz
Dar International
Safari trippers
Moro Jazz
Kwa sisi wahenga, nimeona msamiati WAHENGA umetumika pasipo mahala pake.
Hizo ni bendi sio bongoflevaNUTA Jazz
Kilwa Jazz
Tabora Jazz
Dar International
Safari trippers
Moro Jazz
Kwa sisi wahenga, nimeona msamiati WAHENGA umetumika pasipo mahala pake.
Kuna mmja nilimsikia anasema anaona raha sana kuigiza mwanamke na kuvaa nguo za kike achilia mbali kazi kulipa ila anasikia raha. Hapo ni mbele ya kamera sasa backstage sijui hali ipoje.Bila kusuka na Kuvaa hereni za kuning'inia bila kusahau kurambaramba midomo nyimbo zimejaa matusi ata mvuto wa kuskiliza azina
Hakika sema hii nyimbo hua naitafuta siipati online mwenye nayo aiweke wakuuDaaa gangwe mob walitisha sana, kuna jiwe lao moja linakwenda kwa jina la "nje nje nje ndani" "nalikubali mpk sasa.
Hakika sema hii nyimbo hua naitafuta siipati online mwenye nayo aiweke wakuu
T-shirt na jeansUniversity Corner walikuja vizuri sijui ikawaje!!
Mwengine sajoDAZ NUNDAZ
Ferouz
Daz Mwalimu
na wengineo
WAGOSI WA KAYA (WAGOSI WA NDIMA)
Dr John
Mkoloni
FAGIO LA CHUMA CREW
wahenga ongezeeeni
Hakuvaa Condom watu walijua kutuimbia vituUswahilini ndio walioimba Kosa la Marehemu.
Dar mpk moro ilikua Hit songTmk wanaume family.
- mikono juu- amka
- dar mpaka moro
- chama kubwa
Nyimbo za sir nature zote.
Hizi nyimbo zikipigwa lazima niwehuke,
Tip Top Connection
- goma la manzese
- basi imba
Napo nawehuka kwa sanaaaah,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
MandojoWalikuwepo na wajanja wa Arusha, DOMOKAYA
A.k.A washambaWatu pori
Natambua uwepo wao ila nimewaachia na nyie wahenga muwataje kidogo hakika inapendeza
Gangwe Mobb ft. Nasma Hamis - Wape vidonge vyao...
Huu unaweza kuwa wimbo wao nilioupenda zaidi
View attachment 1782231
CBM Crew ft. TID - My Girlfriend:
Wachuja Nafaka, hawa sikuwahi kuwaelewa ni akina nani haswa maana sikujua kuwa ni GWM tu wamejibadilisha jina wakmuongeza Juma Nature au vipi, ila 'Ya leo kali' lilikuwa bonge la pini...
View attachment 1782267
Heshima kwako mkuu