Haya makato NMB mbona sijayaelewa

Haya makato NMB mbona sijayaelewa

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,363
Reaction score
16,092
Guys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi.

So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii, mida ya jioni nimeangalia kwenye akaunti yangu ya NMB nakuta ipo 289, 571 nimeshangaa hiyo elfu 10 na mia4 yote imeenda wapi?

Siku hizi kuna makato hadi ya kupokea hela NMB?
 
Utakuja ambiwa transaction fee,ukiangalia statement yako utaona ni makato ya nn
 
Nimeacha kutumia huduma za bank mwaka wa tano huu, hifadhi pesa zako chini ya uvungu wa kitanda ni salama kwa afya yako.
 
Back
Top Bottom