Haya maisha sio poa kwakweli

Haya maisha sio poa kwakweli

nitatoboa kweli

Senior Member
Joined
Jul 15, 2023
Posts
137
Reaction score
454
Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha

Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah

Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo

Hata chakula sitamani kwa mawazo dah

Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee

Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko

Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
 
wakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha

najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah

najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo

hatachakula sitamani kwamawazo dah

yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee

ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko

haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
Wekapo basi kapicha
 
Acha ujinga, hujui wanaharakati wa kupinga bandari wanachangiwa pesa? Wewe kaa stari wa mbele ukikamatwa utachangiwa pesa.

Jitokeze pambania bandari ili hata ukifa utakuwa umekufa kishujaa kuliko hiyo mbinu ya kutaka kujigongesha.
 
wakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha

najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah

najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo

hatachakula sitamani kwamawazo dah

yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee

ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko

haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
Hadi veta? Kuna watu ndo wanataka wakimbilie huko. Kweli Hali si shwari
 
wakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha

najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah

najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo

hatachakula sitamani kwamawazo dah

yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee

ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko

haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
Godfrey Zambi?
Ama zambi yupi?
 
Tafta kaMkopo Kamoja cha KAUSHA DAMU utachangamka tu Automatically na hata wazo la kujiua litaimarika zaidi liwe bora.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom