Haya maisha bhana!!

Sijui kwanini naona umejibu kidharau au kwa vile wewe unakula good time hapo kwenye kiyoyozi?

Mkuu labda lugha imekuwa ya direct sana ila huo ni ukweli.
Mtu mwenye GPA ya Nne kwa accounting and finance ni mtu ambaye kama hakuwa anakariri darasani sio mtu wa kukosa ajira na ikiwa anaitwa interview kabisa.
Shida ni kama haitwi interview ila kama anaitwa interview tena zenyewe hizo za UTUMISHI inabidi afaulu.

Interview za huko hata wenye GPA za Pass huwa wanapita vizuri tu na wala hawana connection. Sasa GpA ya 4 anafeli wapi.
 
 
Wenye degree wao wape mchongo wa namna ya kuanzika proposal ya 'misaada ya watu wa marekani ' ,hutojutia
Umekariri sana dogo wa veta mwalimu wako veta alikuwa NTA level gani au Na yeye aliishia VETA ? Veta ni kwa watu waliofeli na wenye uwezo mdogo
 
Mafanikio hayapimwi kwa GPA kubwa or less, Cha mno unayo connection ya hayo ma accounting and finance?

👉Ni afadhali jielekeze kwenye kilimo,start with what you have with what you can......

🤗🤗🤗🤗
 
hujui unachokiongea ww,upate GPA Ya 4.0 degree kwa kukariri? ivi umeenda shule kweli wewe

Sio nimeenda shule tu, ninayo hadi Shahada ya Uzamili. Wewe unadhani kwanini waajiri wengi sasa hivi wameacha kuajiri kwa kigezo cha ukubwa wa GPA? Kwa sababu wengi wana GPA kubwa ila kichwani chenga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…