Haya maisha bhana!!

Kwa dunia ya sasa ukisoma kwa kukariri kwamba baada ya kumaliza shule utaajiriwa basi utakufa kwa stress mapema sana.
 
Unapopata kukata tamaa unarudi kusoma hapa[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Ulipata gpa ya ngapi mkuu
 
Kama upo dasalama na huna kazi nicheki nikupe mchongo ila ni nguvu 9 akili 1
 
Mkiambia nendeni VETA mnaona ushamba Sasa una GPA ndo Nini hata kibara saidia fundi nashindwa kukuita najua skills za handyman huna.
 
Daaaah mkuu umempa ukweli wote naona😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…