Haya maisha bhana!!

Haya maisha bhana!!

Adrian2716

Member
Joined
Oct 23, 2023
Posts
98
Reaction score
293
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
 
POLE MKUU

DEPRESSION IS REAL
 
Mkuu usichoke bali ni muda wa kupambana zaidi hakuna jambo jepesi duniani. Hata ukipata kazi bado kuna ugumu utatokea kukuchallange. Ila muhimu pambana na jihusishe au jumuika na watu mwanzo mgumu. Mitaa ina tactics zake usitukie akili ya darasani. Ishi na watu wa mtaa vzr then watakupa mbinu za kitaa au utaziona. Kuwa tayari kujifunza kwa watu wa mtaa ila sio kila mtu wa mtaa umwamini hiyo hapana. Angalia wenye uthubutu na wenye kutambua nn wanafanya kwa mtaa
 
Kwani nani alikuambia ukasome hakuna , ulijiendea ,mwenyewe , jingine ungesema awali miezi kuanzia january hadi june ungepata kazi ndugu yangu alikuwa anatafuta muhasibu mshara 1. 2ml sasa kapata na kuna matangazo yalikuwa yanatokea ya watu waliosomea uhasibu mengi saivi unasema funga mwaka nani akuajiri
 
Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.

Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
😂😂😂
 
daaaah
 
Pole mkuu,
Mimi ni kati ya watu waliomaliza chuo wakiwa na gpa ndogo kweli. Nlisoma kozi siipendi kwa shinikizo la mzee plus nikafika chuo nikawa na mambo mengi. Sup za kutosha kila semister na course ilikuwa ngumu kweli watu kibao waka disco nashangaa hata nlitoboaje miaka 3.
Sasa kwakuwa nilijua gpa yangu ni ndogo sana nlijua siwezi compete na wenye ma gpa yao.
Niliamua kutafta njia zangu na kufanya vitu vingine. Luckily baada ya hapo nimewahi kuajiriwa sehemu 3 na kote huko sikuwahi kuulizwa cheti maana bali tu watu wananiajiri kwa experience au reference.
So, mkuu usikate tamaa maisha ni kupambana mlango huu ukizingua unacheki hata dirisha kama unaweza kupenya
 
sawa sawa mkuu
 
Back
Top Bottom