donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Huku ni kufanya kazi ki mazoea tu, huwezi ukatype kitu kama hicho alafu ukashindwa kuhariri.. Bora hata ingekuwa ndani ya habari lakini KICHWA CHA HABARI?. Masihala haya.....
another typing error, masihala au masihara?Huku ni kufanya kazi ki mazoea tu, huwezi ukatype kitu kama hicho alafu ukashindwa kuhariri.. Bora hata ingekuwa ndani ya habari lakini KICHWA CHA HABARI?. Masihala haya.....
Huku ni kufanya kazi ki mazoea tu, huwezi ukatype kitu kama hicho alafu ukashindwa kuhariri.. Bora hata ingekuwa ndani ya habari lakini KICHWA CHA HABARI?. Masihala haya.....
hehehe ni shida mkuuMungu wanguuuuuuu!!! Lazima waandamane