Haya Mafunzo ya udereva kwa wiki mbili yanaukweli?

Kuna Haya mafunzo ya udereva kwa wale ambao ni wamiliki wa leseni kwa muda wa wiki mbili??

Je vyeti ambavyo vinatolewa vinatambulika na serikali??

Je vyeti hivyo vinaweza kutumika kama sehemu ya Fani??

Au ni sehemu ya upigaji tu na ujanja ujanja??

Naomba ambaye anajua anipe maelezo!!

Au niende veta tu kwa mwezi mmoja na wiki moja kuliko hivi ya wiki mbili?
Nenda veta maana inatambulika
 
Kichwa cha mtu yoyote kama hakina vinasaba vya utaahira anaweza kujua kuendesha gari ndani ya siku mbili mpaka tatu!… controlling may take up to 7 days, zaidi ya hapo ni utaahira 😂

Wao wamekupa wiki mbili… huoni kama ni fair ya hali ya juu we kalagabaho?!
 
Na wewe una vinasaba vya utahira,
Kwasababu hujui maana ya kuendesha gari na kuongoza gari.

Lakini pia udereva sio kujua control reverse nk
Nadhani nikusaidie kitu kimoja..kwa sauti ya upole kabisa udereva ni kujua kufahamu na kutii alama za barabarani sio kujua kuwasha gari pekee..

Lakini pia inategemea na aina ya udereva, wewe ni dereva uchwara wa kwenda na kurudi kazini..tena na auto yako(IST)

Sisi wenzako udereva ni ajira, sio local ni transit..so tunahitaji nyaraka muhimu kutoka registered training Institution, ili kwenda na nyakati.

Sasa kama unadhani mimi ni sawa na wewe pole.
Nimalize kwa kusema wewe ni tahira kwasababu hujui dereva ili akamilike anahitaji mambo mengi na sio control ya gari

Shame on you sugar mamy
 
We jamaa una Umama sana! 😄😄😅
 
Nadhani mafunzo haya ni kwa wale wanaojua kuendesha na walishapata leseni.

Iko hv...
Kabla kwa madaraja madogo tulikua tunapewa leseni bila vyeti. Ila kwa madaraja makubwa ilikua lazima cheti.

Ila kwa sasa wote lazima upeleke cheti bila hvyo hawa renew leseni labda upitie mlango wa nyuma.

Sasa ili kurenew leseni ndio wanapewa refresh training ya wiki mbili yani kama walimu wa voda fasta.

Then unapewa gamba ukarenew leseni.

Sidhani hayo mafunzo ni kwa ajili ya madereva wapya.
 
Sahihi mkuu Mungu akubariki nimekuelewa
 
Back
Top Bottom