Haya, hawa Wamesha Chonganishwa Rahaaa kweli

Haya, hawa Wamesha Chonganishwa Rahaaa kweli

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
545339_520804034613778_1875770289_n.jpg
 
Hizo nguvu wanazotumia hapo si wangeenda kuzalisha au kujishughulisha na kazi au waandae kabisa pambano walipwe au unasemaje Mbuzi Mzee
 
Last edited by a moderator:
Jamaa aliyeshikwa shingo anaonekana ana hasira!
 
Hapa msuluhishi inabidi agangamale la sivyo watamuacha mtupu
 
Mara ya mwisho kupigana nilikuwa form two na nilipoteza pambano,.tokea hapo nilitundika gloves..ukinichokoza nakupa ushindi uking'ang'ania unasema na mguu wa kuku
 
Mara ya mwisho kupigana nilikuwa form two na nilipoteza pambano,.tokea hapo nilitundika gloves..ukinichokoza nakupa ushindi uking'ang'ania unasema na mguu wa kuku


Dah umenikumbusha mbali sana coz hata mie sikumbuki mara ya mwisho kurusha makonde ilikuwa lini
 
Mie mara ya mwisho ilikuwa std one 1986 na nilishinda pambano now im 36.
 



kama taifa limewekeza vema, hawa wanchukuliwa kwa lazima na kupelekwa kufanya kazi za mikono zisizohitaji taaluma zaidi kama mashamba ya miwa, viwanda vya kuranda mbao na usindikaji nk.

hapa kwetu tanzania hakuna mikakati yoyote ya kuwasaidia watu kama hao, bali husubiliwa siku za kampeni na chaguzi ccm inawakumbuka kwa kuwapa mlo wa siku moja au mbili. inaudhi sana.
 
Back
Top Bottom