Haya hapa maujanja ya kutengeneza Natural Viagra, Mademu lazima wakukome!

Hii ni kweli na sidhani kama ina side effect..

Binafsi huwa natengeneza pombe kali zangu mwenyewe kwa matumizi yangu mwenyewe na rafiki zangu.. Nilinunua mashine ya distillation kutoka China, ndogo tu for home use. Sasa kuna wakati nikatengeneza whisky ya watermelons kwa kuchanganya na limao na grapes.. Nikafata taratibu zote za kuandaa whisky mpaka nikapata product niliyoitaka..

Sasa kimbembe kikaja nilivyoanza kuitumia ile kitu.. Siku ya kwanza kuinywa uume haukulala usiku kucha.. Nikajiuliza maswali mengi sana nini tatizo.. Ikabidi kesho yake nimwite mama house, aiseeee mpaka alidhani labda nimemlia viagra maana performance haikuwa ya nchi hii..

Nikampa na rafiki yangu mmoja hivi na wala sikumwambia ile kitu ina nini.. Jamaa akaja kunipigia simu asubuhi ananiuliza ile kitu nimeweka nini.. Watermelons ni hatari sana
Matikiti maji ni dhahabu ambazo wengi tunaidharau, Angalau umewaondolea mashaka wale wenye wasiwasi,
Alafu mkuu tungepata info kidogo kuhusu hiyo mashine ya kutengeza wine ingekuwa bora zaidi
 
hatari mzee lazima nitengeneze hii kitu mana hakuna nampa hebu veleur zikae pembeni kwanza
Valeur zinamadhara kiaina na sio nzuri, mpango mzima ni natural, kwanza zinafaida nyengine zaidi ya hizo
 
Tiba mubashara, siyo akina mzizimkavu kutwa kuwapiga pesa ndefu masikini wenzetu wenye maswaibu haya.

STUNTER fanya kuipeleka na JF dokta hii kitu, maana watu wanaishia kuchungulia kule wakijua ndo kuna 'solusheni '
 
Mkuu STUNTER sijawahi jaribu huo mchanganyiko wako wala kuusikia kokote, lakini naamini ni salama na hauna side effects.

Ngoja leo niwape story yangu ya kweli kabisa..

Binafsi niliwahi kupata tabu sana siku za nyuma kutokana na ishu hizo za kushindwa kusimamia ukucha vizuri.. Ilibaki kuwa siri yangu lakini ilinitesa, acha tu..

Nilikuwa na majanga mawili; kwanza nilikuwa nawahi kukojoa halafu nyege zote zinakatia hapo, halafu 'mjomba' nae alikuwa weak sometimes akishaangusha mzigo kuamka ni shughuli pevu!

Ila kuna siku nilipata ufumbuzi.. Ilikuwa hivi;

Tulikaa tu maskani (hotel fulani hivi ipo mkabala na nyumba ninayoishi), baada ya kazi jioni tunapiga story, siasa na soka kwa saaana.. Siku hiyo ndio ilikuwa OMEGA ya tatizo langu sugu..

Mmoja wa washirika wa maskani yetu ni mzee mmoja hivi injinia mstaafu.. Akatumegea siri kuwa pmj na uzee wake yeye suala la kula mzigo halimpi stress na anapiga mambo kama kijana.. Tulipomdadisi sana kwa kuwa ni mwenzetu akatupatia utajiri huo wa afya usio na madhara..

Mpaka ninavyoandika hapa, ninayo dawa ya asili (kama majani ya chai hivi) ambayo naichanganya kwenye chai na kahawa kila ninapokunywa... Na sio dawa ya nguvu za kiume tu, inatibu maradhi mengi ambayo nilidhani ni utani ila naona matokeo yake kwa kila anayejaribu..

Sasa tatizo siku hizi matangazo ya tiba hizi yamekuwa mengi na feki kiasi kwamba ni ngumu sana mtu kuaminika anapokuja na story kama hizi anaonekana wale wale tu, ila bahati nzuri wapo walimbwende wawili humu JF nishatoka nao, waje wanisute kama naongopa!

Guys, jaribuni ishu ya Stunter, ikifeli msichoke kutafuta faida kwingineko.. Tumeumbwa kwa udongo, tiba ipo ardhini!
Mkuu Ningependa na mimi unigawie huo utajiri kama alivyokupa mzee bila choyo ,

Kwanza hayo majani yanaitwaje?

Yanapatikana vipi ?
 
Hiyo komamanga ndo ikoje?

Je hiyo ni tiba ya milele au ndo ukitaka kupiga show unakunywa hiyo juice!!?
Tiba ya milele unamaanisha nini mkuu? Yani ukitumia maramoja tu?? Kama ndio ivyo basi jibu ni hapana,
ila nnachojua ni vema ukaifanya kama lifestyle yako hata ikitokea umeikosa basi unakuwa umeshajijengea afya ya mwili na pafomansi haiwezi kushuka
 
kwa stail hii utakua maarufu zaid ya GWAJIMA wanaume wengi hatujiamini siku hizi
 
Mkuu Ningependa na mimi unigawie huo utajiri kama alivyokupa mzee bila choyo ,
Kwanza hayo majani yanaitwaje?
Yanapatikana vipi ?
Sijui yanaitwaje wala yanakopatikana..
Ukiyahitaji nitakuombea bila hiyana ndugu..
Mind you - hayo majani sio 'tiba' ya nguvu za kiume.. Ni remedy tu ya mwili mzima kwa tatizo lolote la kawaida la kiafya..
Kama tatizo lako ni serious sana, siweki dhamana..
 
watu tunataka kupunguza nguvu wengine wanataka kuongeza.

fanya mazoezi
punguza bia
kula dagaa dona maharage
supu ya samaki
miogo
nk

natural & Artficial viagra
vinaleta ulemavu
 
Back
Top Bottom