Haya hapa maujanja ya kutengeneza Natural Viagra, Mademu lazima wakukome!

Hayo majani unayasaga.. Si machungu wala matamu, yapo kama tea masala hivi..
Alitupatia kidogo kidogo na hauzi ila katupa ofa tukiishiwa tumwombe..
Yanaitwaje au anayatoa wapi anadai ni siri yake..
Ila honestly, yanalipa!
Next time akikupatia naomba uyapige picha kisha uiweke humu, hata kama yapo kwenye mfumo wa unga unga, wee iweke tu huenda kuna watu wanayafahamu
 
Tiba mubashara, siyo akina mzizimkavu kutwa kuwapiga pesa ndefu masikini wenzetu wenye maswaibu haya.

STUNTER fanya kuipeleka na JF dokta hii kitu, maana watu wanaishia kuchungulia kule wakijua ndo kuna 'solusheni '
Huwa najiskia vibaya sana nikiona mtu anatozwa hela kwakitu ambacho labda mimi ningeweza kumsaidia for free,
Hataivyo nadhani hapa MMU ndio jukwaa linalotembelewa na watu wengi zaidi ya kule JF doctor,
 
kwa stail hii utakua maarufu zaid ya GWAJIMA wanaume wengi hatujiamini siku hizi
Bora punda afe lakini mzigo ufike, Lengo ni kusaidiana na kupunguza kejeli na fedheha, kama una maujanja mengine yamwage hapa watu wajizolee
 
watu tunataka kupunguza nguvu wengine wanataka kuongeza.

fanya mazoezi
punguza bia
kula dagaa dona maharage
supu ya samaki
miogo
nk

natural & Artficial viagra
vinaleta ulemavu
Una habari kwamba juice ya embe inasaidia kulainisha choo? Je mtu akiinywa kwaajili ya kupata choo laini itamletea ulemavu?
Je unahabari kwamba juice ya ukwaju inapandisha kinga za mwili? Hiyo pia mtu akinywa anakuwa mlemavu? Dunia simama nishuke
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mkuu ongezea hii,

1.Asali mbichi 1/3 kuanzia siku moja na kuendelea..... hapo shem lazima apandishe mashetani,

2. Kula parachichi, karoti na (embe au tikiti) kwa pamoja but siku mbili kabla ya mechi,
Kama vinapatikana kirahisi unaweza kutumia kila siku, walahi lazima shem aimbe haleluyaaaa.
Excelent..!! Maxence Melo naomba uipitie michango ya wakuu yenye tija uiunganishe pale juu kwenye thread ili wengine waipate kwaurahisi, I beg you bro
 
Mkuu mimi mashine yangu nilinunua 650k... Unaweza check ebay au kama una ndugu/rafiki China unaweza ukamwagizia..

Mfano wake ni kama hii hapa..
Fuyang-buda-corn-ethanol-distiller-whisky-distillation.jpg
Hii safi sana, na kwa watu wenye upeo wa kujiongeza basi hii ni biashara safi sana kama utazileta bongo
 
Hii safi sana, na kwa watu wenye upeo wa kujiongeza basi hii ni biashara safi sana kama utazileta bongo
Mkuu tatizo ni sheria za nchi yetu.. Mimi hii niliona niipitishie Jomo Kenyatta then nikaivushia Holili bila shida yeyote.. Lakini ukijifanya kuileta pale Mwalimu Nyerere wanaweza kukuletea vikwazo vya kila aina na makodi yasiyoeleweka..

Lakini nitajaribu kuagiza nyingine moja nione kama itakuwa rahisi kuipitisha.. Wametuambia hii ni Tanzania ya viwanda nitashangaa kama watazuia..
 
Back
Top Bottom