Haya hapa maujanja ya kutengeneza Natural Viagra, Mademu lazima wakukome!

Majita eeh STUNTER nimeamua kuisaidia kambi yangu ya kiumeni manake wachuchu wanaishambulia sana, mara ooh Skuizi wachezaji wamekuwa wachovu,
Mara wanasema eti hatufungi magoli ya uhakika,
na wengine wanafika mbali zaidi wakisema eti hatuwezi kuhimili mchezo kwa dakika 90 Kudadekii...
Sasa nasemajeee wanawake mjiandae...

Mazee miluzi mingi humchanganya mbwa! Sasa mimi ngoja niende straight to the point, Leegow
-
JINSI YA KUANDAA MCHANGANYIKO WA NATURAL VIAGRA
vinavyohitajika
i.¼ Tikikiti maji ( watermelon)
ii.1 Limau (lemon)
iii.1 Komamanga(pomegranate)
Jinsi ya kutengeneza
-Chukua hivyo tikiti likate vipande vidogovidogo( hata ule utando mweupe wa chini pia muhimu sana hivyo hakikisha unalikwangua vizuri)
kisha viweke pamoja na hayo matunda mengine kwenye blenda kwaajili ya kusagwa.

-Visage vizuri mpaka viwe juice, kisha chukua juice yako weka kwenye sufuria alafu viweke jikoni vichemke, hakikisha vinachemka mpaka vinatoa mvuke wa kuevaporate,

-Baada ya hapo iepue kisha iache ipoe kwa muda kama wa saa1(lisaa limoja),
-
Hapo sasa weka kwenye chupa au chombo chenye mfuniko kisha hifadhi kwenye friji, na hapo utakuwa umeshatengeneza, twende kwenye matumizi sasa tehetehe leo mademu watakoma leooo!
Jinsi ya kutumia
-Kila siku asubuhi kunywa 1/3 ya kikombe au glass, hakikisha unakunywa kabla haujala chochote( empty stomach)
-Fuata utaratibu huo pia kabla ya msosi wa mchana.
N.B
Hiyo ni juice ya asili kabisa ambayo itakwenda kurekebisha msukumo wako wa damu mwilini na kukuongezea stamina ya kupafomu shoo ambayo sio ya nchi hii,
Na pia hiyo juice inaweza kutumiwa na mtu yeyote kwasababu haina side effects.
ONYO:
Hiyo juice baada ya maji usiichanganye na kitu chochote kile mfano Sukari, chumvi,Ladha(taste), rangi, au kiungio chochote kile!
kwasababu vinaweza kuipunguza nguvu ya utendaji kazi.
Vilevile Wakati unachanganya hayo matunda usitoe mbegu, changanya na mbegu zake......
hii Ni kweli kabisa naifahamu. na inafanya kazi kweli ila hakikisha wakati unakunywa hii juice uwe na njaa. yaani tumbo liwe empty
 
Naomba uwe mfano mzuri kwa wasio amini, Usisite kutoa ushuhuda mkuu
 
Majita eeh STUNTER nimeamua kuisaidia kambi yangu ya kiumeni manake wachuchu wanaishambulia sana, mara ooh Skuizi wachezaji wamekuwa wachovu,
Mara wanasema eti hatufungi magoli ya uhakika,
na wengine wanafika mbali zaidi wakisema eti hatuwezi kuhimili mchezo kwa dakika 90 Kudadekii...
Sasa nasemajeee wanawake mjiandae...

Mazee miluzi mingi humchanganya mbwa! Sasa mimi ngoja niende straight to the point, Leegow
-
JINSI YA KUANDAA MCHANGANYIKO WA NATURAL VIAGRA
vinavyohitajika
i.¼ Tikikiti maji ( watermelon)
ii.1 Limau (lemon)
iii.1 Komamanga(pomegranate)
Jinsi ya kutengeneza
-Chukua hivyo tikiti likate vipande vidogovidogo( hata ule utando mweupe wa chini pia muhimu sana hivyo hakikisha unalikwangua vizuri)
kisha viweke pamoja na hayo matunda mengine kwenye blenda kwaajili ya kusagwa.

-Visage vizuri mpaka viwe juice, kisha chukua juice yako weka kwenye sufuria alafu viweke jikoni vichemke, hakikisha vinachemka mpaka vinatoa mvuke wa kuevaporate,

-Baada ya hapo iepue kisha iache ipoe kwa muda kama wa saa1(lisaa limoja),
-
Hapo sasa weka kwenye chupa au chombo chenye mfuniko kisha hifadhi kwenye friji, na hapo utakuwa umeshatengeneza, twende kwenye matumizi sasa tehetehe leo mademu watakoma leooo!
Jinsi ya kutumia
-Kila siku asubuhi kunywa 1/3 ya kikombe au glass, hakikisha unakunywa kabla haujala chochote( empty stomach)
-Fuata utaratibu huo pia kabla ya msosi wa mchana.
N.B
Hiyo ni juice ya asili kabisa ambayo itakwenda kurekebisha msukumo wako wa damu mwilini na kukuongezea stamina ya kupafomu shoo ambayo sio ya nchi hii,
Na pia hiyo juice inaweza kutumiwa na mtu yeyote kwasababu haina side effects.
ONYO:
Hiyo juice baada ya maji usiichanganye na kitu chochote kile mfano Sukari, chumvi,Ladha(taste), rangi, au kiungio chochote kile!
kwasababu vinaweza kuipunguza nguvu ya utendaji kazi.
Vilevile Wakati unachanganya hayo matunda usitoe mbegu, changanya na mbegu zake......
You're tryping to kill a little energy you've
 
Hii ni kweli na sidhani kama ina side effect..

Binafsi huwa natengeneza pombe kali zangu mwenyewe kwa matumizi yangu mwenyewe na rafiki zangu.. Nilinunua mashine ya distillation kutoka China, ndogo tu for home use. Sasa kuna wakati nikatengeneza whisky ya watermelons kwa kuchanganya na limao na grapes.. Nikafata taratibu zote za kuandaa whisky mpaka nikapata product niliyoitaka..

Sasa kimbembe kikaja nilivyoanza kuitumia ile kitu.. Siku ya kwanza kuinywa uume haukulala usiku kucha.. Nikajiuliza maswali mengi sana nini tatizo.. Ikabidi kesho yake nimwite mama house, aiseeee mpaka alidhani labda nimemlia viagra maana performance haikuwa ya nchi hii..

Nikampa na rafiki yangu mmoja hivi na wala sikumwambia ile kitu ina nini.. Jamaa akaja kunipigia simu asubuhi ananiuliza ile kitu nimeweka nini.. Watermelons ni hatari sana
 
hatari mzee lazima nitengeneze hii kitu mana hakuna nampa hebu veleur zikae pembeni kwanza
 
Best luck wakuu
 
Attachments

  • How+To+Make+Natural+Viagra-+Viagra+Alternative+Tips_low.mp4
    2.1 MB · Views: 108
Back
Top Bottom