Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Akina Zuhura tabia zao bana hazina tofauti sana na za akina Rose,wakati akina Rose hupenda kutembea na waume za watu,akina Zuhura wengi wana watoto wa nje ya ndoa!Aidha wamezaa kabla ya kuolewa au wanawabambikia waume zao watoto ambao sio wao!Sio vibaya ukawa makini unapokuwa na mahusiano na hawa watu,japokuwa watafiti Zefa Nuto na Nduka Liziwe wanasema kwenye taarifa ya utafiti wao kuwa sio wote huwa hivyo,ila wengi wao huwa hivyo!