Haya;akina Zuhura hawa!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,702
Akina Zuhura tabia zao bana hazina tofauti sana na za akina Rose,wakati akina Rose hupenda kutembea na waume za watu,akina Zuhura wengi wana watoto wa nje ya ndoa!Aidha wamezaa kabla ya kuolewa au wanawabambikia waume zao watoto ambao sio wao!Sio vibaya ukawa makini unapokuwa na mahusiano na hawa watu,japokuwa watafiti Zefa Nuto na Nduka Liziwe wanasema kwenye taarifa ya utafiti wao kuwa sio wote huwa hivyo,ila wengi wao huwa hivyo!
 
Dhambi ya ubaguzi wa kidini huanza taratibu kama maumivu ya kichwa, tuone mwishowe!!!!!
 
mmh acha kukashfu majina ya watu! toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako.:poa
 
Kuna jamaa yangu kaoa juzi binti zuhura mbona utamkatisha tamaa na binti mjamzito
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom