Akina Mama wenye asili ya Machame pale KKKT Kimara wameomba Wasiitwe tena Wapalestina na Wasizushiwe kuwauwa Waume zao ili Warithi Mali!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Akina Mama wenye asili ya Machame pale KKKT Kimara wamesoma Azimio mbele ya Kiongozi wa Kanisa lao mchungaji Matsahi wakimwomba Mungu wa mbinguni awaondolee dhana ya kuitwa Wapalestina

Kadhalika wamekanusha uvumi kwamba huwa wanauwa Waume zao ili Warithi Mali

Aidha Akina Mama hao wameomba wachagga na Watanzania wote waelewe kuwaita wao Wapalestina kunawapa Mateso makubwa wao na binti zao walio katika Uchumba na Ndoa hivyo wanaomba Sana tabia ya kuwaita hivyo na kuwazushia mambo kadha wa kadha ifike mwisho

Mchungaji Matsahi amewafanyia maombi Maalum Akina Mama wote wa Machame

Mlale Unono 😃
 
Akina Mama wenye asili ya Machame pale KKKT Kimara wamesoma Azimio mbele ya Kiongozi wa Kanisa lao mchungaji Matsahi wakimwomba Mungu wa mbinguni awaondolee dhana ya kuitwa Wapalestina...
Wee umesikia leo mbona tangu mwezi juzi waliongea hilo
 
Akina Mama wenye asili ya Machame pale KKKT Kimara wamesoma Azimio mbele ya Kiongozi wa Kanisa lao mchungaji Matsahi wakimwomba Mungu wa mbinguni awaondolee dhana ya kuitwa Wapalestina...
Hii hoja ni ya kisiasa au ya kikuda? Wajuz wa siasa nielimisheni'!
 
Wanawake Wamachame kwa uchawi ni pro-max, tena ile ya kuwaua wanaume.
Na wengi wao wanauaga kwa AKILI SANA yani siyo kukuua yeye mwenyewe direct ila atatumia mbinu nyingine tu kama kutafuta wakora wakufanyizie mtaani au hata wanaweza kuwavamia nyumbani kwenu usiku kama majambazi vile mkiwa mmelala na mkeo wakitafuta kitu au fedha nyumbani na wakora watakuua wewe mume waamuacha mke...
Wapalestina ni kwere aisee
 
Kuna nesi mmoja wa pande hizo alimzikaga mumewe mbele ya nyumba baada ya kumuua. Wapalestina noma
 
Kuna mmoja alinisokota Namshukuru Mungu sijui nilitokaje kwenye ule mtanange. Juzi kati alinitumia msg kuwa hatujamaliza nae
 
Back
Top Bottom