Hawara wangu amekuwa mwiba kwangu,msaada wana Chit Chat.

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Wapendwa,nilikuja humu kutafuta hawara wa kiume,na kuomba aliye tayari ani-PM.
Nilishukuru kwani nilimpata wa kuniliwaza.
Sasa cha ajabu,amekuwa haishi kunifanyia vituko,hata sijui nifanyeje!
Kama ambavyo niliomba kukutana na hawara humu,naomba msaada wenu wa mawazo wana Chit Chat,juu ya mwanaume huyu asiye shikika!
 
sema vimbwanga vyenyewe mficha uchi.... na kama vipi si hawara, siyo mke kama hamuelewani si muachane kila mtu aangalie ustarabu wake??
 
Hujui lugha ya picha eeh?
Kwa uzi huu ndo anatoa taarifa kuwa anataka hawara aka ingizo jipya. Jaribu bahati kaka, wife si mjamzito. Haijalishi.mko wangapi, ndoo ndo inajaa maji, moyo haujaiii
 
Mimi kwa akili zangu za ki-utu uzee najua kabisa kuwa wewe ndiwe una matatizo na hata kama utampata mpya leo hutaridhika naye. Sasa nakupa dawa na uitumie kwa uangalifu: Kusanya midume kama kumi hivi, wakumalize matatizo yako yote ya kimwili kila mmoja kwa muda wake na zoezi hilo liwe la muda wa majuma mawili,usiku na mchana, then upige kimya na usije tena kwa ishu hizo hapa. Ukifanya hivyo hakika hutapata tena mahangaiko ya moyo na mwili kamwe. Otherwise utajiju....
 
Halafu ni vigumu kukushauri ni vituko gani anavyokufanyia. Vituko kwenye mapenzi siyo uniform, tiririka usaidiwe.
 
wahenga walisemaaa 'Kinachoanzia JF kitaishia JF'
Labda inakutokea ili neno litimie. Akili mukichwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom