Hawakuzingatia soko la waswahili.....!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawakuzingatia soko la waswahili.....!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Katavi, Apr 13, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa huwa hawana wataalamu wa lugha tofauti ili wasijiharibie soko?? Kama hapa nani atanunua pikipiki hii??

  Jinyee.jpg
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  aluuuu....!...najaribu kufikiria kwa sauti...
   
 3. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  nadhani siku hizi wamepata wataalam!kuna moja inaitwa CHUMA!inauza sana wanunuaji wanaamini ni imara kama chuma!
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Ndiyo! Ni wazi kabisa market research yao ya brand name ni mbovu!
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu Katavi ulitaka kuinunua nini, jina likakutisha?
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Jina linatisha bwana, au wanamaanisha kweli maana hizo ukipata ajali ni kifo au majeraha, sasa hii jinyee....!!!
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Inaonekana amenunua makusudi ili watu wasigongee...
   
Loading...