Hawakutaka kurudia makosa ya Ulimboka

H
Siku moja kwenye story hizi za vijiweni jamaa mmoja akasema kuwa lilikuwa ni kosa moja kubwa sana la kiufundi kumuacha Ulimboka hai..kwakuwa mengi yatokanayo yalikuja kujulikana...Ulimboka hakupaswa kubaki hai kwa mukatadha wa watesi wake!

Kosa lingine kubwa la kiufundi lilikuwa kufanya mawasiliano ya kielectronic na kimtandao kupitia simu za mkononi...hivi vitu vinaacha alama zisizofutika...ndio maana mawasiliano yale yakaja kuwekwa wazi neno kwa neno muda eneo mpaka sekunde

Kosa lingine ni security bleach....kulikuwa kuna loop hole mahali, hakukuwa na tight mark hivyo kuruhusu habari zisizotakiwa kuvuja
Kwahiyo nini kingefanyika in future
-kuwa na encycriped devises ambazo haziruhusu mawasiliano kuvuja kwa njia yoyote ile

-kufanya system overhaul ili kuondoa posibilities zote za virus waliokuwa wanavujisha habari

-kutumia Osama technique ambayo ilimsaidia sana 'manual search' hakuna kutumia simu kabisa mawasiliano yote yanakuwa locally...yani kama unanitafuta mimi unanifuatilia kinyumenyume kupitia wengine mpaka unanifahamu vilivyo ratiba zangu daily ninapoishi nk nk....baada ya hapo ni rahisi sana kuninyakua pahala nikiwa pekeyangu hasa gizani

Kwa njia hii mtanitafuta mpaka basi kumbe tayari niko kwenye tumbo la chatu naoza taratibu
Hahadaiwi MTU hapa
 
Kuna wakati mshana ana akili ila akishaanza ushirikina anaboa sana
 
hqdefault.jpg
810847697.jpg
 
Eti serikali ikiingia jf watu mnaanza kuzunguka na vihashtag vya Freedom of speech. Freedom gani hii isiyo na mipaka. Hii sio jamiiforum ya enzi zile imebaki majungu 24 hours

Afadhali ya huku kuliko twitter
 
Siku moja kwenye story hizi za vijiweni jamaa mmoja akasema kuwa lilikuwa ni kosa moja kubwa sana la kiufundi kumuacha Ulimboka hai..kwakuwa mengi yatokanayo yalikuja kujulikana...Ulimboka hakupaswa kubaki hai kwa mukatadha wa watesi wake!

Kosa lingine kubwa la kiufundi lilikuwa kufanya mawasiliano ya kielectronic na kimtandao kupitia simu za mkononi...hivi vitu vinaacha alama zisizofutika...ndio maana mawasiliano yale yakaja kuwekwa wazi neno kwa neno muda eneo mpaka sekunde

Kosa lingine ni security bleach....kulikuwa kuna loop hole mahali, hakukuwa na tight mark hivyo kuruhusu habari zisizotakiwa kuvuja
Kwahiyo nini kingefanyika in future
-kuwa na encycriped devises ambazo haziruhusu mawasiliano kuvuja kwa njia yoyote ile

-kufanya system overhaul ili kuondoa posibilities zote za virus waliokuwa wanavujisha habari

-kutumia Osama technique ambayo ilimsaidia sana 'manual search' hakuna kutumia simu kabisa mawasiliano yote yanakuwa locally...yani kama unanitafuta mimi unanifuatilia kinyumenyume kupitia wengine mpaka unanifahamu vilivyo ratiba zangu daily ninapoishi nk nk....baada ya hapo ni rahisi sana kuninyakua pahala nikiwa pekeyangu hasa gizani

Kwa njia hii mtanitafuta mpaka basi kumbe tayari niko kwenye tumbo la chatu naoza taratibu
Hivi ndugu ulimboka kwa sasa yuko wapi
 
Mauaji yanayofanywa na serikali kwa raia wake kwa hasira za kuchezewa sharubu hufanywa kwa unakini mkubwa sana.
Watu wanaowajibika kwenda kuwinda huyo mlengwa wao, kumteka hadi kumuua hupaswa kuchukua tahadhari kubwa sana, kwa sababu mwisho wa siku mambo yakibumburuka kesi huwa ni ya kwao, hulambwa vifungo na serikali iliyowatuma husimama pembeni na kwa kujiapiza viapo vya kusadikisha wanainchi kuwa haihusiki.
Kwamba " Ulimboka tumuue kwa lipi" waongo wakubwa, ni wao. Mauaji kama hayo hayawezi kufanyika bila baraka zao.
Uvujaji wa taarifa zinazopelekeza wahusika waliotekeleza unyama huo kufahamika, hufanywa mbinu mbalimbali chafu "kuua" kesi hiyo. Aidha kwa rushwa, mauaji ya mashahidi, kuroga ama "maagizo toka juu"ili mradi kesi hiyo iishe.
Chukulia mfano wa kubenea na Ulimboka, ilikuwaje?
Lakini "ikibana"kabisa dhamana ya Mauaji hubebeshwa wauaji wenyewe, mfano wa Imrani Kombe,wauaji wake walitiwa jela, lakini sielewi hadi leo hao wauaji bado ni wafungwa, sidhani. Kwa sababu hata jela walikotiwa korokoroni haijulikani.
Mauaji yasiyokuwa na mkono wa serikali, wauaji wake huwa lazima wajulikane, kwa sababu taasisi za kipelelezi za serikali zina weledi mkubwa sana wa kutafuta habari, kuzichambua na kuzichuja na hatimaye wahusika kutiwa mbaroni.
Chukulia mfano wa uvamizi wa vituo vya polisi na kuporwa silaha, uvamizi wa polisi walinzi pale benki. Mbona wahusika walinaswa kwa kasi ya kipanga?
Iweje suala la 2.00 o'clok ama viroba vya miili za watu mtoni lisuesue wakati wanauwezo mkubwa wa kufuatilia hata kwa njia ya mbwa?
Tukifunga mjadala kwa kusema kuwa serikali imehusika na utesaji hatimae mauwaji ya raia wake tuliowataja, tutaitwaje?
 
Back
Top Bottom