Acha kutetea ujinga, ule ulikuwa ni uhaini tu hamna kingineKwa akili na mtizamo wa upande mmoja, ukienda upande wa pili nao walikuwa wanadai haki zao na sio kwamba waliamka siku hiyo na kugoma.
Kuwa fair. Ajira na ujira. Usiliwachukie nyuki, mchukie aliyerusha jiwe kwenye mzinga pia.
sijakuelewa mkuu wangu. naomba ufafanue kidogoEight Oclock Ndio Basi tena yupo tumboni mwa chatu sasa hivi.
Weak leaks!Kusema Kweli Kubenea alinifurahisha Sana. Aliwaumbua mmoja baada ya mwingine. Mpaka Leo huwa naingia mwanahalisi. com na kusoma tena lile gazeti. Ingekuwa Zama hizi za sheria ya mitandao wasingemsalimisha. Ilikuwa ni uzembe wa hali ya juu kuacha nyayo zote zile. Hata mwananchi wa kawaida aliweza kuunganisha dots na kuhitimisha mwenyewe.
kumbe ulimboka alikusababishia hasara kubwa mno,Nikikumbuka hilo jina Ulimboka najikuta naumia sana...
Mzazi anaumwa yupo hospital
Mara mgomo umeanza
Madaktari nao wanadai kitu kidogo walau mzazi apate sindano apoze maumivu.
Ni siku moja kabla ya ule upasuaji uliptakiwa ufanyike kutibu tatizo la mzazi.
Siku inafika hakuna kinachoendelea unawafuata madaktari wakikusamehe sana wanakwambia "babako anakufa leo, umejipangaje asife kwa maumivu"
Hatimaye mzazi anakufa kwa mateso,
naam anamaliza kazi yake duniani , siku ilifika lakini majibu ya daktari yule hunitia hasira sana na namwona kama mtesi wa baba yangu.
Hadi leo jina Ulimboka na jina la Hospital ile hunikumbusha yale maumivu aliyoyapata baba.
Pumzika salama baba, tunakukumbuka daima.
Daaah!!! Ujumbe wako umeniskitisha sana ndugu yangu...Nikikumbuka hilo jina Ulimboka najikuta naumia sana...
Mzazi anaumwa yupo hospital
Mara mgomo umeanza
Madaktari nao wanadai kitu kidogo walau mzazi apate sindano apoze maumivu.
Ni siku moja kabla ya ule upasuaji uliptakiwa ufanyike kutibu tatizo la mzazi.
Siku inafika hakuna kinachoendelea unawafuata madaktari wakikusamehe sana wanakwambia "babako anakufa leo, umejipangaje asife kwa maumivu"
Hatimaye mzazi anakufa kwa mateso,
naam anamaliza kazi yake duniani , siku ilifika lakini majibu ya daktari yule hunitia hasira sana na namwona kama mtesi wa baba yangu.
Hadi leo jina Ulimboka na jina la Hospital ile hunikumbusha yale maumivu aliyoyapata baba.
Pumzika salama baba, tunakukumbuka daima.
Mambo yakifika huku tunaweza kuwa kama Syria.Huku watu wanafurahia mateso ya mgonjwa,kule wanafurahia mateso ya daktari kwa vile amedai haki yake,hapa vifo vya utata vinatokea wengine wanafurahia kwa vile ndugu zao waliwahi kufa kwa kukosa huduma,na wengine wanalia hawajui wafanye nini!Confusion!Nikikumbuka hilo jina Ulimboka najikuta naumia sana...
Mzazi anaumwa yupo hospital
Mara mgomo umeanza
Madaktari nao wanadai kitu kidogo walau mzazi apate sindano apoze maumivu.
Ni siku moja kabla ya ule upasuaji uliptakiwa ufanyike kutibu tatizo la mzazi.
Siku inafika hakuna kinachoendelea unawafuata madaktari wakikusamehe sana wanakwambia "babako anakufa leo, umejipangaje asife kwa maumivu"
Hatimaye mzazi anakufa kwa mateso,
naam anamaliza kazi yake duniani , siku ilifika lakini majibu ya daktari yule hunitia hasira sana na namwona kama mtesi wa baba yangu.
Hadi leo jina Ulimboka na jina la Hospital ile hunikumbusha yale maumivu aliyoyapata baba.
Pumzika salama baba, tunakukumbuka daima.
Mambo yakifika huku tunaweza kuwa kama Syria.Huku watu wanafurahia mateso ya mgonjwa,kule wanafurahia mateso ya daktari kwa vile amedai haki yake,hapa vifo vya utata vinatokea wengine wanafurahia kwa vile ndugu zao waliwahi kufa kwa kukosa huduma,na wengine wanalia hawajui wafanye nini!Confusion!
Siku moja kwenye story hizi za vijiweni jamaa mmoja akasema kuwa lilikuwa ni kosa moja kubwa sana la kiufundi kumuacha Ulimboka hai..kwakuwa mengi yatokanayo yalikuja kujulikana...Ulimboka hakupaswa kubaki hai kwa mukatadha wa watesi wake!
Kosa lingine kubwa la kiufundi lilikuwa kufanya mawasiliano ya kielectronic na kimtandao kupitia simu za mkononi...hivi vitu vinaacha alama zisizofutika...ndio maana mawasiliano yale yakaja kuwekwa wazi neno kwa neno muda eneo mpaka sekunde
Kosa lingine ni security bleach....kulikuwa kuna loop hole mahali, hakukuwa na tight mark hivyo kuruhusu habari zisizotakiwa kuvuja
Kwahiyo nini kingefanyika in future
-kuwa na encycriped devises ambazo haziruhusu mawasiliano kuvuja kwa njia yoyote ile
-kufanya system overhaul ili kuondoa posibilities zote za virus waliokuwa wanavujisha habari
-kutumia Osama technique ambayo ilimsaidia sana 'manual search' hakuna kutumia simu kabisa mawasiliano yote yanakuwa locally...yani kama unanitafuta mimi unanifuatilia kinyumenyume kupitia wengine mpaka unanifahamu vilivyo ratiba zangu daily ninapoishi nk nk....baada ya hapo ni rahisi sana kuninyakua pahala nikiwa pekeyangu hasa gizani
Kwa njia hii mtanitafuta mpaka basi kumbe tayari niko kwenye tumbo la chatu naoza taratibu