Hawakutaka kurudia makosa ya Ulimboka

Kwa kukumbusha mambo ya Ulimboka umethibitisha kwamba wewe ni Buddhist monk.
Hill ni jambo ambalo linaleta wasi wasi sana.
Yakitokea matatizo duniani Mungu anagombanana mapadre wake..
Kama lile sakata la Ulimboka mtu ameng' olewa meno amebanduliwa kucha na jamaa ambaye alikuwa ametoroka kutoka kwenye mental hospital.
 
What?!
 
aling'olewa meno na kucha na chizi (mental hospital case)
 
Nikikumbuka hilo jina Ulimboka najikuta naumia sana...
Mzazi anaumwa yupo hospital

Mara mgomo umeanza
Madaktari nao wanadai kitu kidogo walau mzazi apate sindano apoze maumivu.

Ni siku moja kabla ya ule upasuaji uliptakiwa ufanyike kutibu tatizo la mzazi.

Siku inafika hakuna kinachoendelea unawafuata madaktari wakikusamehe sana wanakwambia "babako anakufa leo, umejipangaje asife kwa maumivu"

Hatimaye mzazi anakufa kwa mateso,
naam anamaliza kazi yake duniani , siku ilifika lakini majibu ya daktari yule hunitia hasira sana na namwona kama mtesi wa baba yangu.
Hadi leo jina Ulimboka na jina la Hospital ile hunikumbusha yale maumivu aliyoyapata baba.

Pumzika salama baba, tunakukumbuka daima.
Pole sana kaka kwa kumpoteza Mzee wako
 
Mkuu huwa ipo hivi, Siri huwa ni ya watu 3, shetani, Mungu na mhusika mwenyewe.

Kuna kastory flani nilipata kukasikia, jamaa wanne walipata kutumwa wakafanye maauaji sehemu, ya mtu flani kwa kiasi flani cha malipo.
Waliifanikiwa kumkamata mhusika na wakampeleka porini kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo.

Wakiwa huko porini, walimuambia mhusika asali Sala zake za mwisho, kisha aombe chochote kabla ya kuuawa.

Mhusika, aliinama chini kwa huzuni mwingi, Kisha akasali, Sala fupi ya kuomba Mungu amsamehe dhambi zake, huku midomo ya bunduki na mapanga vikimuelekea yeye.

Akiwa bado kainama aliona msululu wa sisimizi katika mistari moja wakiongozana. Akili ikamjia ghafla, kuwa awaombe wale sisimizi wapeleke taarifa kwao kwamba ameuawa. Alifanya vivyo kwa kupaza sauti, kitu kilichopelekea wale wauaji kucheka sana tena kwa dharau, kisha wakatekeleza mauaji yao kwa kumuua yule bwana, na wakaenda zao.

Ilipita miaka kadhaa, wale wauaji walikuwa sehemu wakipata kinywaji (pombe), huku kikiwa kimewakolea sawa sawa, mmoja wao akaona msululu wa siafu, akacheka sana, wenzake wakashtuka wakadhani amelewa zaidi na kuwa chizi, wakamuuliza vipi, mbona unacheka pekeyako.?

Akawajibu huku akiwaonesha msululu wa wale siafu, Kisha akawaambia kwa kiwauliuliza mnakumbuka siku flani wakati tumamuua flani aliwaomba sisimizi kama hawa wampelekee Salamu kwa ndugu zake yakuwa ameuawa na sisi? Wale Rafiki zake nao wakakumbuka Kisha wakacheka sana kwa kugonganisha glass za vinywaji vyao.

Pasipo kujua pale mbembeni kuna watu waliwasikia, wakati wakikili hayo, wale watu walienda kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama na Jamaa wakatafutwa na kutiwa chini ya ulinzi, Kisha mahakamani kwa kosa la mauaji.

Kwahiyo it's a matter of time and "tick tock"
Mungu
Shetani
Mhusika
Ndio maana wenzetu hawaiti SIRI bali ni CLASSIFIED INFORMATION yani ni habari inayopaswa kujulikana kwa watu wa kaliba/kundi fulani tu na kwa wakati fulani lakini hufika mahali inabidi ijulikane kwa wote kwa utaratibu maalum kwakuwa kiasili mwanadamu hana kifua cha kutunza jambo milele (hasa alilofanya na mwingine)
 
Mkuu huwa ipo hivi, Siri huwa ni ya watu 3, shetani, Mungu na mhusika mwenyewe.

Kuna kastory flani nilipata kukasikia, jamaa wanne walipata kutumwa wakafanye maauaji sehemu, ya mtu flani kwa kiasi flani cha malipo.
Waliifanikiwa kumkamata mhusika na wakampeleka porini kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo.

Wakiwa huko porini, walimuambia mhusika asali Sala zake za mwisho, kisha aombe chochote kabla ya kuuawa.

Mhusika, aliinama chini kwa huzuni mwingi, Kisha akasali, Sala fupi ya kuomba Mungu amsamehe dhambi zake, huku midomo ya bunduki na mapanga vikimuelekea yeye.

Akiwa bado kainama aliona msululu wa sisimizi katika mistari moja wakiongozana. Akili ikamjia ghafla, kuwa awaombe wale sisimizi wapeleke taarifa kwao kwamba ameuawa. Alifanya vivyo kwa kupaza sauti, kitu kilichopelekea wale wauaji kucheka sana tena kwa dharau, kisha wakatekeleza mauaji yao kwa kumuua yule bwana, na wakaenda zao.

Ilipita miaka kadhaa, wale wauaji walikuwa sehemu wakipata kinywaji (pombe), huku kikiwa kimewakolea sawa sawa, mmoja wao akaona msululu wa siafu, akacheka sana, wenzake wakashtuka wakadhani amelewa zaidi na kuwa chizi, wakamuuliza vipi, mbona unacheka pekeyako.?

Akawajibu huku akiwaonesha msululu wa wale siafu, Kisha akawaambia kwa kiwauliuliza mnakumbuka siku flani wakati tumamuua flani aliwaomba sisimizi kama hawa wampelekee Salamu kwa ndugu zake yakuwa ameuawa na sisi? Wale Rafiki zake nao wakakumbuka Kisha wakacheka sana kwa kugonganisha glass za vinywaji vyao.

Pasipo kujua pale mbembeni kuna watu waliwasikia, wakati wakikili hayo, wale watu walienda kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama na Jamaa wakatafutwa na kutiwa chini ya ulinzi, Kisha mahakamani kwa kosa la mauaji.

Kwahiyo it's a matter of time and "tick tock"
Mungu
Shetani
Mhusika
Ndio maana wenzetu hawaiti SIRI bali ni CLASSIFIED INFORMATION yani ni habari inayopaswa kujulikana kwa watu wa kaliba/kundi fulani tu na kwa wakati fulani lakini hufika mahali inabidi ijulikane kwa wote kwa utaratibu maalum kwakuwa kiasili mwanadamu hana kifua cha kutunza jambo milele (hasa alilofanya na mwingine)
 
Kwa kukumbusha mambo ya Ulimboka umethibitisha kwamba wewe ni Buddhist monk.
Hill ni jambo ambalo linaleta wasi wasi sana.
Yakitokea matatizo duniani Mungu anagombanana mapadre wake..
Kama lile sakata la Ulimboka mtu ameng' olewa meno amebanduliwa kucha na jamaa ambaye alikuwa ametoroka kutoka kwenye mental hospital.
Brute force ,no matter how strongly applied,can never subdue the basic human desire for freedom .The hundreds of thousands of people who marched on the medias proved this. They simply expressed the human need for freedom and democracy.Their demands had nothing to do with some new ideology;they were simply expressing their heartfelt desire for freedom .
 
Back
Top Bottom