Hawa watu wanaongoza kwa kumiliki wanawake wazuri wazuri hivi huwa kuna siri gani?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Unaweza kataliwa na dem ukazani anamilikiwa na profesa kumbe ni hawa watu;
Je: Kuna siri gani wanaofanya kazi hizi kupendwa na wanawake wazuri jamani!
  • Wakaanga samaki
  • Wakaanga chipsi
  • Waganga wa kienyeji
  • Makonda wa daladala
  • Madreva boda na bajaji
  • Wachekeshaji (comedian)
  • Wavuvi na wazamiaji
 
Ungewauliza tu
 
Kwahiyo mapropesa kama kabudi na lipumba ndo wanatakiwa kumiliki watoto/madem/wanawake wakali lakini sio sisi manaharia?wacha ubaguzi.na sie pia tuna moyo.
Zingatiaapa/papuchi haina vidato.
 
Uchawi, uwezo wao kitandani, Saundi Mingi, Huduma/Kazi zao kua most wanted, etc
 
Kwahiyo mapropesa kama kabudi na lipumba ndo wanatakiwa kumiliki watoto/madem/wanawake wakali lakini sio sisi manaharia?wacha ubaguzi.na sie pia tuna moyo.
Zingatiaapa/papuchi haina vidato.
 
Wanawake wanaweza pumbazika na kitu kidogo sana. Dereva boda anaweza mtoa ubungo akampeleka kimara akaona kafanyiwa jambo kubwa sana kumbe bodaboda katumia lita moja ya petrol ambayo ni sh elf 2 tu
hàhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…