Kuna siri gani nzito kwa wanawake wa namna hii?

April26

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
1,403
2,117
Habari za jumapili wakuu, nina muda kitambo sijaonekana kuandika jukwaani ni kwa sababu nakuwa sina cha kuandika japo huwa naingia na kusoma threads za watu, hiyo ipo hivo.

Ila leo nimekipata cha kuandika, ipo hivi ! Kuna siri gani kwenye mwanamke wa tabia tajwa hapa chini?

Ni mwanamke alieolewa na mwanaume rijali, mwanaume yuko sawa anapeleka tendo ipasavyo mwanamke akibahatika kufanya nae hushukuru hadi kutokwa machozi karibu week nzima kila anapowaza ilivyokuwa.

Unakuta mwanamke kaolewa ni mzuri wa tabia na mpambanaji wa kutafuta riziki ya ndani lakini hana hisia za mapenzi (nina maana kitandani ila ana upendo)

Mwanamke amesoma elimu yake imfaayo na anafahamu kabisa kuwa maisha ya mke na mme huboreshwa na mapenzi lakini hatilii maanani.

Mwanamke anaenda kanisani ama msikitini kwa ajiri ya ibada na anapata mafundisho yakiwemo ya mahusiano lakini akirudi nyumbani haoneshi wala hawi romantic.

Mwanamke ambae mmewe anaweza shika simu yake week nzima na asione simu za hovyo tofauti na za ndugu zake tena anaowafahamu,huyu ana siri gani ndani yake maana hachepuki.

Kazi ya mwanamke huyu inajulikana na siku nzima anashinda hapo kazini kwake hana mitoko wala marafiki wa party za mjini, yukoje huyu kuna nini kinamsibu?

Mwanamke ambae hataki kuona mmewe ameongozana na mwanamke mwingine na inaweza tokea hata kugombana kwa sababu hiyo hata kama hawatongozani, kiufupi ana wivu sana.

Mwanamke ambae yupo tayari mmewe asidharirike pale anapokuwa hana kipato ,mwanamke huyu yupo tayari atoe pesa kumsaidia mmewe na hata kuendesha familia, lakini hayuko romantic kabisa.

Mwanamke ambae huduma zote za ndani anafanya kama kumfulia nguo mmewe, kumpikia chakula kizuri, usafi wa nyumba n.k lakini mumewe hana furaha linapokuja swala la tendo la ndoa.

Mwanamke ambae sio mbishi kwenye maisha na mambo mengine ya kawaida lakini sio rahisi rahisi sana kumpa penzi mumewe japo hutokea. Huyu ana shida gani?

Mwanamke huyu ana sifa kadhaa za kuwa mwanamke isipokuwa hillo la kutopendelea sana kusex ,yaani halipi kipaumbele kihiiivo kama ilivyozoeleka.

Mwanamke huyu anapokwenda kupima au kufanya uchunguzi kwa watalaamu wa maswala ya mapenzi na hisia vipimo vinasema yuko sawa hana tatizo.

Mwanamke huyu anaonekana wa furaha mara zote wala swala la yeye kutoonekana romantic kwa mmewe inaonekana hazingatii kiviiile. Hatujui huwa wanajisikiaje kama wapo watuambie!

Kiukweli hadi naandika uzi huu nimechimba sana kiundani tabia za wanawake wa aina hii na nimeshindwa kupata jibu sahihi!!

Mwanzo nilijuwa LAZIMA WANAWAKE WA AINA HII WATAKUWA WACHEPUKAJI SANA lakini kumbe ulikuwa mtazamo hasi japo wanaweza kuwepo ila sio kwa hawa niliyo washuhudia hapa.

Anyway, humu kuna wengi wanaume na wanawake tunaweza pata majibu aina hii ya wanawake unakuta wana shida gani?

Kwa upande wa wanaume wa aina hii ambae ana fanya services zote ndani na kwa mkewe halafu mdhaifu kwenye sex nadhani mnajuwa lazima ataitwa mwanaume suruali na atapigiwa sana na washikaji, hilo halipingwi, je hawa wanawake wa hali hii tusemeje ?
 
Kuna wanawake au wanaume wapo hivyo yaani wameumbwa kwa namna hiyo wana jina lao sema nimelisahau na Mara nyingi uwa hawana kabisa hisia za kimapenzi lakini wana juhudi sana maishani na wana IQ ya hali ya juu sana na wengi wao uwa hawapendi habari za mahusiano kabsa mfano;Albert heinsten,Galilei Galileo n.k
 
Alie Toa kauli yakuwa hakuna mkamilifu ndo inaplay part hapo sasa hakuna MTU aliekamilika haswa linapokuja swala la mahusiano anakuwa mkamilifu katika sehemu flani na flani lakini sehemu nyengine Hana ukamilifu ndo tulivyo binaadam.
 
So ni psychological, biological au kitu gani? Na je hamna replacement ya hiyo tabia kitaalamu?
 
Wanawake type iyo wapo wengi sana nafikir kuna mambo yanawafanya wapo ivyo kimojawapo yaweza kuwa stress
Yaweza kuwa kweli lakini kwa huyu naemfahamu hana stress kabisa kama nilivosema kwenye andiko anaonekana kuwa na furaha muda mwingi sana.
 
Alie Toa kauli yakuwa hakuna mkamilifu ndo inaplay part hapo sasa hakuna MTU aliekamilika haswa linapokuja swala la mahusiano anakuwa mkamilifu katika sehemu flani na flani lakini sehemu nyengine Hana ukamilifu ndo tulivyo binaadam.
Nature hii

Je hakuna replacement ya hii tabia hata kitaalamu?
 
Kuna wanawake au wanaume wapo hivyo yaani wameumbwa kwa namna hiyo wana jina lao sema nimelisahau na Mara nyingi uwa hawana kabisa hisia za kimapenzi lakini wana juhudi sana maishani na wana IQ ya hali ya juu sana na wengi wao uwa hawapendi habari za mahusiano kabsa mfano;Albert heinsten,Galilei Galileo n.k
Einstein alikuwa anazichapa kwerikweri mpaka kazaa na binamu yake ,mtoe hapo
 
So ni psychological, biological au kitu gani? Na je hamna replacement ya hiyo tabia kitaalamu?
Haipo hyo ni nature yao ila kuna dawa za kienyeji wanazo masheikh pamoja na wamasai ukimpa atumie wallah!!! Utanipa feedbacks yaani utaona analilia dudu mwenyewe lakini kwa hospital ni kupoteza muda bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom