Unaweza kataliwa na dem ukazani anamilikiwa na profesa kumbe ni hawa watu;
Je: Kuna siri gani wanaofanya kazi hizi kupendwa na wanawake wazuri jamani!
Je: Kuna siri gani wanaofanya kazi hizi kupendwa na wanawake wazuri jamani!
- Wakaanga samaki
- Wakaanga chipsi
- Waganga wa kienyeji
- Makonda wa daladala
- Madreva boda na bajaji
- Wachekeshaji (comedian)
- Wavuvi na wazamiaji