Hawa watu wanaongoza kwa kumiliki wanawake wazuri wazuri hivi huwa kuna siri gani?

Jamani msitusingizie. Wavuvi kwa sasa tuko buzy na kutafuta soko la samaki nchi za nje. Siyo madem wazuri. Huu ni wakati wenu ma professor kuwala. Nao waamini kwa madem wazuri ni madreva wa malori
 
kwanza pole kwa kukataliwa, pili maprofesa hawajui kutongoza ndiyo maana huambulia kuokota kikaragosi, tatu wanawake wazuri wanapenda kutafta kiota yaani mtu wa kudumu ambaye hamfatilii mambo yake ili wadange kwa Uhuru!
Hapa, umemaliza uzi wote.
Big up
 
Mila na Desturi za Kiafrika zinakataza watu wa jinsia tofauti kukaa pamoja (keep social distance ).
Hawa watu waliotajwa, muda mwingi wanakuwa karibu na watu wa jinsia ya kike na kwa kawaida kwa namna mwanadamu alivyoumbwa anakuwa na mvuto wa kutenda tendo la ndoa kwa mtu anayekuwa karibu naye mara kwa mara.
 
Uchawi, uwezo wao kitandani, Saundi Mingi, Huduma/Kazi zao kua most wanted, etc
We umemaliza kila kitu mada ifungwe mademu always wanapenda slope,

Hapo anajua akidate na muuza kiepe kama zero IQ basi atakuwa anakula kiepe yai ata kama hana hela, vivyo hivyo kwa muuza samaki atapata mboga free, konda kusafiri free, mganga sijajua labda uchawi wake au baadhi ya mashart ya dawa zake kuforce kuwamenya ili ifanya kazi,

Kingine ni ile ukiwa kwa hivyo vitengo asilimia 90 unakutana na mademu wakali, hivyo macho huzoea kuwaona mwisho unawakuta wa kawaida tu unawatongoza kwa fujo na kuwala kama wote,

Wanaume wengi wanaogopa kuwatongoza Wanawake wazuri wanaokutana nao kwa mara ya kwanza.
 
hatari faya kwahiyo sangoma kama anazari la mentali
 
Hao ndio watu muda wote wanakuwa pamoja nao kwenye mizunguruko ya kila siku wakati huo wenye hao wasomi wapo darasani,maofisini wengine wapo mikoani kikazi....Ni ngumu sana mtoto wa kike kupenya kwenye huo mtego!
 
Back
Top Bottom