Hawa watu wana akili kichwani? hapa si nikutukana Dini ya Kikiristu au???

Mstari mmoja wa Biblia hautoshi kukufanya wewe ndio waujua ukristo sana, je hukumbuki wana Israel walipona kwa kuangalia sanamu ya nyoka kwa maelekezo ya Mungu mwenywe. Hapo hawaabubu sanamu hata kidogo

Mungu tunamwamini kupitia maneno yake na wala si maneno yetu,Mungu alipowaambia wana wa Israel wageukia sanamu ndipo wapone, wapo walioamini na kupona na wapo ambao hawakuamini na walikufa. Na hata sasa tunapokatazwa kufanya sanamu ya kuchonga tunatii maneno yake, alichoruhusu ameruhusu na anazo sababu, alichokataza amekataza na si kutoa maana zetu katika mambo tuliyokatazwa.
 
Hiyo haina uhusiano na dini ya kikristo, wenye matatizo ni wale wanaotumia picha za namna ile makanisani mwao wakiwaaminisha waumini wao kuwa huo ndiyo Ukristo. Ukristo ni Imani siyo picha za kuchonga. Hakuna picha ya kweli ya Yesu Kristo Popote pale duniani, alipokuja duniani hakukuwa na taaluma ya kamera hivyo zilizopo ni za kuchorwa na wasanii, Bilbia inakataza matumizi ya sanamu na picha za kuchora kwani hiyo si sehemu ya Ukristo. Someni maandiko e.g Habakuki 2:18-20

You got it right,
 
kwa kuwaangalia tu usoni sina imani nao hata maana mmhhh hapana wanahitaji msaada
sana wa maombi ya ufungulivu maana sura zao zinaonesha kuwa wamefungwa ufahau wao
na hivyo hawajitambui kama wanaishi ama wamekufa
 
Mimi mara nyingi huwa nawashangaa wakristo wenzangu,sasa ona wao kwa wao wanaumana na kurumbana juu ya misalaba n.k,lakini bado nikukumbusheni wenzangu,mtakosoana hapa jamvini weeeee lakini bado hamtampata nani yuko sahihi.Kitu cha msingi hapa ni kila mtu na azisafishe njia zake ili siku Yesu anaposhuka siku hukumu upate kunyakuliwa.na kuuona uzima wa milele,maana kwa kifupi lazima tukubali, hakuna dini yoyote ya kikristo itajitokeza na kujiona bora zaidi ya nyingine cha msingi jaribu kukifuata unachokiamini wewe na wala si kumfanya mwenzio aamini ukiaminicho wewe.HAKUNA MTAKATIFU HAPA DUNIANI TUSILETE KUDANGANYANA HAPA.
 
Hii ni kwenda kinyume na haki za wanyama, hawa watu walipaswa kushtakiwa...! Wale wanaharakati wa haki za wanyama wapo wapi?
 
Kuanzia leo paka wote hawatakuwa na dhambi!
"mwokozi" wao ameshabebeshwa dhambi zote!
 
Inashangaza kwamba mkuu wa
nchi ya Tanzania aliwausia
viongozi wa dini zote yaani
dini za Kiislam, Kibaha'i,
Kihindu, Kiyahudi, Kishinto,
Kikristo, Kibudha, n.k, kuacha
kuuza/kununua "BHANGI"
lakini walio react ni wa dini
moja tu, sijui kwa nini ?
 
Uzuri wa nchi yetu ni kukosekana kwa wasimamizi wa sheria zetu. Ndiyo maana kila mtu anaweza kufanya baya lolote, hata kama ni kwa kasi gani, na asichukuliwe hatua!
 
Hahahha watu wametengenza mpaka filamu ya passion of the christ. Lakini huo msalaba hata ukidhikiwa binasii kama mkristu najua hakuna hukumu ya kuuwawa inayotolewa kwa yule anayedhiaki.
 
Hawa jamaa waache wapoteze muda wao!dini ya kikistu ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo daima na milele!!!
 
Kama ni hivyo hap msalabani si ndipo palipopelekea wewe na wengine wote "kusamehewa" dhambi zenu? Na akabebeshwa "mungu"? Duhh, hii kali "Mungu" anambebesha dhambi "Mungu" mwenzie? Ili "sisi" tusamehewe. Raha kweli.
tusiwe tuna provoke imani ya watu wengine. every one has a right to believe on what he/she think is good. that why others believe on rock, cow etc. unatumia kiungo gani cha mwili kufikiri? sizani kama ni kichwa!!
 
Inashangaza kwamba mkuu wa
nchi ya Tanzania aliwausia
viongozi wa dini zote yaani
dini za Kiislam, Kibaha'i,
Kihindu, Kiyahudi, Kishinto,
Kikristo, Kibudha, n.k, kuacha
kuuza/kununua "BHANGI"
lakini walio react ni wa dini
moja tu, sijui kwa nini ?
so what is your point??
 
Mstari mmoja wa Biblia hautoshi kukufanya wewe ndio waujua ukristo sana, je hukumbuki wana Israel walipona kwa kuangalia sanamu ya nyoka kwa maelekezo ya Mungu mwenywe. Hapo hawaabubu sanamu hata kidogo

Tafuta katika Maandiko kujua ikiwa Mungu alifurahishwa kwa waisraeli kuendelea kuwaabudu/kuwasalia hao nyoka wa shaba au la. Na mfalme Hezekia au Manase (kama sikosei) alipowateketeza na kuwasaga kabisa ili watu waache kuwatumaini na kuwaweka katika Hekalu, Ni kwa nini Mungu alifurahishwa na uamuzi wa mfalme wa Yuda wa wakati huo?
 
Back
Top Bottom