BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 7,666
- 17,211
Hatuna wapinzani nchi hii, ni genge tu la wahuni na waganga njaa
Utaficha Kifo kweli? Mi mtaani kwetu tangu convid 19 iingie ni juzi tu ndio tumezika mtu mmoja tena mbibi ambaye hata hakufa kwa covid zaidi ya uzeeMembe kajipaka vitakasa mikono pia alinawa mikono baada ya kutoka pale na kwenda kutafuna tangawizi kunywa maji ya limau Asprin kwa wingi, corona ipo nyingi hapo jijini Dsm lakini kwa kuwa watu wameamua kufanya siri hawataki kusema ndugu zao wamekufa kwa covid 19 bali husingizia ni magonjwa mengine ya kawaida tu, wengi hawataki ijulikane wana mgonjwa wa corona kwao wakihofia kutengwa na jamii zilizowazunguka, hilo jiji la Dsm lina watu zaidi ya milion 5 na wengi huishi uswahilini kwenye misongamano mkubwa ambapo hufa wengi lakini wanafanya siri huku wewe na CCM mkiendelea kuwahadaa watanzania kuwa corona imekwisha Tanzania.
Kwani mitaani zimetapakaa maiti?Mashirika ya Ndege ya kimataifa bado yanaitenga Tanzania ni Ndege chache za kimataifa zinakuja hapo Dsm, nyinyi mnasema corona haipo lakini ofisi za Balozi wana taarifa za kwenye jamii kote wanajua corona ipo kwa wingi.
Wanaopona ni wengi mno kuliko wanaokufa.Kweli. Ninawafahamu angalau watu 11 walioipata na kupona baada ya kujidunga mixer za tangawizi, kitunguu swaumu, kitunguu maji, pilipili kichaa na limao. Hii kitu imetuspare waafrica. Wazungu hata flu tu huwaua sana
Inauaje watu kwa siri? Ugonjwa kama huo waweza kuwa siri kweli?Corona ipo kwa wingi hapo jijini Dsm, Dodoma, Arusha na mwanza Moshi mbeya kidogo lakini corona ipo Tanzania haijakwisha inaendelea kuua watu kwa siri na wengi hawasemi kuwa ni corona hupakazia magonjwa mengi kuepuka kutengwa na jamii.
🤣🤣Yaan mambo yanaenda race Sana. Jamaa enzi zile alikua anakula Bata UN HQ na Mkwere na safari dunia nzima leo anaenda uswazi kutafuta fomu? Aisee
Wanaopona ni wengi mno kuliko wanaokufa.
Na wanaoipata bila hata kuugua wala kujua wanayo, nao ni wengi mno.
Hivyo, Corona si hatari kivile.
Huyu ni kati ya watu waliotaka vifo kama inzi. Ngoja tuanze kampeni turejeshe tweets zakeJasusi mbobezi aliwahi kusema Tanzania itatengwa na jumuiya za kimataifa kwa vile tu imechukua hatua tofauti na jumuiya za mataifa mengine katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona
GhanaWe vipi
Corona kutokuwepo sasa haimaanishi kipindi kile haikuwepo..
Halafu acheni kufanya kama Afrika nzima Magufuli peke ake hakuweka lockdown..
Nitajie nchi nyingine zaidi ya Kenya,Uganda,Rwanda,South Africa na Nigeria zilizokuwa na lockdown.
We vipi
Corona kutokuwepo sasa haimaanishi kipindi kile haikuwepo..
Halafu acheni kufanya kama Afrika nzima Magufuli peke ake hakuweka lockdown..
Nitajie nchi nyingine zaidi ya Kenya,Uganda,Rwanda,South Africa na Nigeria zilizokuwa na lockdown.
Baam!! Sawa kabisa.Yeye alisisitiza hili janga tutafute namna ya kuishi nalo.
Sawa.Huwa napenda mtu ajenge hoja inayosimama yenyewe. Ulichosema hapa sioni kama umejenga hoja yoyote. Ni kama kusema 1) A 2) B 3) C. 4) Therfore, H.
Hawa mabeberu sasa ndio wanamkubali JPM hata uingereza wamesitisha kutangaza takwimu za covid wanasema vipimo havina uhakika kiko wapi sasa akinya kuku sawa lakini akinya bata ooohhh kaharishaDaktari mmoja wa WHO alisema haafiki kutokutoa taarifa za maambukizi ila anamsifu JPM kwa kuwa na msimamo. Akasema lockdown kwa nchi zetu haiwezi leta tija.
Akamalizia yeye anapenda sana mtu anayesimamia maamuzi yake na kutokuyumbishwa, akaenda mbali zaidi kwamba hata kama anachosimamia hakipo sahihi ila kwake ni ule msimamo wa mtu ana uheshim sana kuliko mtu anaebadilikabadilika.
Jana balozi wa Italy hapa Tanzania tulimuona kwenye TV Dar akihutubia hana hiyo barakoaMashirika ya Ndege ya kimataifa bado yanaitenga Tanzania ni Ndege chache za kimataifa zinakuja hapo Dsm, nyinyi mnasema corona haipo lakini ofisi za Balozi wana taarifa za kwenye jamii kote wanajua corona ipo kwa wingi.
Ungetuwekea tujisomee/tusikie wenyewe aliyosema huyo Daktari.Daktari mmoja wa WHO alisema haafiki kutokutoa taarifa za maambukizi ila anamsifu JPM kwa kuwa na msimamo. Akasema lockdown kwa nchi zetu haiwezi leta tija.
Akamalizia yeye anapenda sana mtu anayesimamia maamuzi yake na kutokuyumbishwa, akaenda mbali zaidi kwamba hata kama anachosimamia hakipo sahihi ila kwake ni ule msimamo wa mtu ana uheshim sana kuliko mtu anaebadilikabadilika.