Hawa watu sasa wamekubali kuwa Corona imeisha?

Toka mwanzo na mpaka sasa, msimamo wangu kuhusu hii Corona ni sawasawa na ule wa Rais Magufuli.

Si ajabu pia, kuwa, msimamo wangu waweza kuwa ni mkali zaidi kushinda hata huo wa Rais Magufuli.

Yaani, COVID-19 si hatari kama tulivyoaminishwa. Tumelishwa matango pori.

Jana nilimwona Bernard Membe akienda kuchukua fomu za kugombea urais.

Alipofika hapo ofisini, akasalimiana na mtu kwa kushikana mikono. Sikuona watu wakiwa wamevaa upuuzi wa barakoa. Sikuona watu wakiwa wamekaa mbalimbali.

Wakina mama waliokuwepo walikuwa wakiimba. Inasemekana katika kuimba, vichembe chembe vya mate huwa vinaruka na hivyo kuwezesha kiurahisi maambukizi ya magonjwa mbalimbali.

Kipindi Corona inabamba, hawa watu wa kambi ya upinzani ndo walikuwa mstari wa mbele kumnanga Rais Magufuli kuhusu msimamo wake wa hivyo virusi.

Sasa hebu tazama video hii! Imekuwaje? Hao wapinzani sasa wamekubali kuwa Corona si hatari kivile?

Mpende au umchukie, kiukweli Magufuli kwa misimamo yake lazima umheshimu tu.

Mbona huwashangai "hawa Wamarekani wenzio"? 👇
 
Attachments

  • 2459944_2AC5648E-8512-4576-AC19-71A1DAE745BC.png
    2459944_2AC5648E-8512-4576-AC19-71A1DAE745BC.png
    124.7 KB · Views: 1
Membe kajipaka vitakasa mikono pia alinawa mikono baada ya kutoka pale na kwenda kutafuna tangawizi kunywa maji ya limau Asprin kwa wingi, corona ipo nyingi hapo jijini Dsm lakini kwa kuwa watu wameamua kufanya siri hawataki kusema ndugu zao wamekufa kwa covid 19 bali husingizia ni magonjwa mengine ya kawaida tu, wengi hawataki ijulikane wana mgonjwa wa corona kwao wakihofia kutengwa na jamii zilizowazunguka, hilo jiji la Dsm lina watu zaidi ya milion 5 na wengi huishi uswahilini kwenye misongamano mkubwa ambapo hufa wengi lakini wanafanya siri huku wewe na CCM mkiendelea kuwahadaa watanzania kuwa corona imekwisha Tanzania.
Yani mtu anaweza kufiwa akafanya siri? Hiyo maiti anaila?
 
Mashirika ya Ndege ya kimataifa bado yanaitenga Tanzania ni Ndege chache za kimataifa zinakuja hapo Dsm, nyinyi mnasema corona haipo lakini ofisi za Balozi wana taarifa za kwenye jamii kote wanajua corona ipo kwa wingi.
Mashirika gani au chi gani ambazo ndege zimeruhusiwa kutoka na kuingia?
 
Corona ipo kwa wingi hapo jijini Dsm, Dodoma, Arusha na Mwanza, Moshi, Mbeya kidogo lakini corona ipo Tanzania haijakwisha inaendelea kuua watu kwa siri na wengi hawasemi kuwa ni corona hupakazia magonjwa mengi kuepuka kutengwa na jamii.
...itoe dodoma weka singida, hizo sehemu nyingine zenye korona upo sahihi kabisa.
 
Toka mwanzo na mpaka sasa, msimamo wangu kuhusu hii Corona ni sawasawa na ule wa Rais Magufuli.

Si ajabu pia, kuwa, msimamo wangu waweza kuwa ni mkali zaidi kushinda hata huo wa Rais Magufuli.

Yaani, COVID-19 si hatari kama tulivyoaminishwa. Tumelishwa matango pori.

Jana nilimwona Bernard Membe akienda kuchukua fomu za kugombea urais.

Alipofika hapo ofisini, akasalimiana na mtu kwa kushikana mikono. Sikuona watu wakiwa wamevaa upuuzi wa barakoa. Sikuona watu wakiwa wamekaa mbalimbali.

Wakina mama waliokuwepo walikuwa wakiimba. Inasemekana katika kuimba, vichembe chembe vya mate huwa vinaruka na hivyo kuwezesha kiurahisi maambukizi ya magonjwa mbalimbali.

Kipindi Corona inabamba, hawa watu wa kambi ya upinzani ndo walikuwa mstari wa mbele kumnanga Rais Magufuli kuhusu msimamo wake wa hivyo virusi.

Sasa hebu tazama video hii! Imekuwaje? Hao wapinzani sasa wamekubali kuwa Corona si hatari kivile?

Mpende au umchukie, kiukweli Magufuli kwa misimamo yake lazima umheshimu tu.

Mkuu, unaposafiri na basi ukaamua kushuka njiani kwa kuhofia mwendo mkali wa basi, haimaanishi lazima mbelini basi ipate ajali!
 
Kwan haijatengwa??? Peleka ndege yako upne kama itaruhusiwa kutua. Habar ndio iyo
Jasusi mbobezi aliwahi kusema Tanzania itatengwa na jumuiya za kimataifa kwa vile tu imechukua hatua tofauti na jumuiya za mataifa mengine katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona
 
Sina uhakika sana, ila ngoja niulize.

Je, nchini Tanzania watu wanakufa kama nzi waliopuliziwa dawa ya kuua wadudu?

Maana kwa hivi sasa sioni tahadhari zozote zile zilizopendekezwa zikichukuliwa na watu nchini Tanzania....
Serikali imewaaminisha wananchi kuwa Korona imekwisha.
 
We vipi
Corona kutokuwepo sasa haimaanishi kipindi kile haikuwepo..
Halafu acheni kufanya kama Afrika nzima Magufuli peke ake hakuweka lockdown..
Nitajie nchi nyingine zaidi ya Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa na Nigeria zilizokuwa na lockdown.
Ww mpuuzi Sasa kwanini mlikuwa mnalilia lockdown
 
We nawe kituko, discussion hapa ni covid19 we unadai bibi kafa na si kwa corona.
We vp??

Hajafa kwa corona sasa wamtaja wa nn??
Utaficha Kifo kweli? Mi mtaani kwetu tangu convid 19 iingie ni juzi tu ndio tumezika mtu mmoja tena mbibi ambaye hata hakufa kwa covid zaidi ya uzee
 
Siyo lazima ukubali alichokisema/ andika.

Unaweza ukakikataa.
Ni wapi umesoma nilipoandika ni "lazima nikubali alichokisema/andika"?

Na wala sijasema 'nimekataa'alichosema, ila wewe umekurupuka na kujiandikia kivyako bila tafaruki.
 
Kwani umelazimishwa kuamini nilikiandika?
Jambo moja nalishangaa, nidanganye kwa maslahi ya nani?

Nimeshakwambia hii ni kwamujib wa mazungumzo yetu tena akiwa na mwenzake ambae sio daktari ila ni mwangalizi wa mashirika ya kimataifa.

Huyu Daktari namuongelea hapa anawakilisha WHO na sio mtanzania. Huo ulikua ni mtazamo wake binafsi kuhusu JPM alivyopambana na Covid 19.
Bado huelewi ninachoandika.

Kama unayoripoti hapa ndio unayodai ndiyo aliyosema huyo Daktari, huoni kwamba uelewa wako juu ya hayo aliyosema unaweza kuwa tofauti na alivyoelewa mwingine uliyekuwa naye hapo alipokuwa anaeleza hayo?

Sijaandika popote kwamba nalazimishwa kuamini au unadanganya; nasema inawezekana hukumuelewa alichosema, kwa sababu mazungumzo yenu unayosema unayawasilisha hapa hayana ushahidi wowote kwamba ndivyo alivyozungumza.

Kuhusu "maslahi", ngoja nikuonyeshe mfano kutokana na uliyoandika hapo juu:

"Huyo Daktari namuongelea hapa anawakilisha WHO na sio mtanzania. Huo ulikuwa ni mtazamo wake binafsi kuhusu JPM alivyopambana na Covid 19"

Soma vizuri hayo maneno uliyoandika hapo. "JPM alipambana na COVID-19" kwa njia zipi ambazo ni za tofauti na kwingine duniani.
Kama ni yeye pekee ndiye alipambana kwa njia tofauti na kuleta mafanikio ambayo wengine hawakuyapata, yeye huu ujuzi juu ya ugonjwa huu mpya aliupatia wapi hadi akajua namna ya kupambana nao tofauti kabisa na hao wengine?
 
Marekani wamekufa laki na zaidi.

Kukataa kukubali uwepo wa tatizo sio jawabubla tatizo.Ni sawa na kunywa pombe ili usahau matatizo yako.

Kilichotakiwa kufanywa ni kupima wote wenye matatizo na kufatilia hatima yao.
Sikiliza, hata Marekani hiyo idadi ina utata.

Wapo wanaokufa kwa sababu zingine, lakini kwa vile wanakuwa na baadhi ya dalili za hiyo COVID,vifo vyao vinasajiliwa kuwa wamekufa na huo ugonjwa.

Pia, hospitali zinapata hela zaidi toka serikalini endapo zitaorodhosha wagonjwa kuwa ni wa COVID-19 na wako kwenye mashine za kupumulia.

Soma hiki kipande cha USA Today, moja ya magazeti ya huko, ambao waliyafanyia fact check hayo madai.

“Our ruling: True
We rate the claim that hospitals get paid more if patients are listed as COVID-19 and on ventilators as TRUE.
Hospitals and doctors do get paid more for Medicare patients diagnosed with COVID-19 or if it's considered presumed they have COVID-19 absent a laboratory-confirmed test, and three times more if the patients are placed on a ventilator to cover the cost of care and loss of business resulting from a shift in focus to treat COVID-19 cases.”

Fact check: Medicare pays hospitals more money for COVID-19 patients

Kwa hiyo idadi yako haielezei ukweli wala uhalisia wa mambo ulivyo!

Wengi wa waliokufa walikuwa na comorbidities. Yaani hawakufa kwa sababu ya gonjwa moja tu. Walikuwa na magonjwa au gonjwa jingine. Wengine walikuwa na terminal illnesses.

Kwa hiyo kusema tu watu zaidi ya 130K wamekufa kwa sababu ya Corona bila kuelezea muktadha, ni sawa na kukwepa kusema ukweli.

Jingine ambalo umelikwepa, ni idadi ya waliopona na wale ambao walikuwa nayo lakini wala hawakuumwa. Unaweza nitajia hiyo idadi?
 
Bado huelewi ninachoandika.

Kama unayoripoti hapa ndio unayodai ndiyo aliyosema huyo Daktari, huoni kwamba uelewa wako juu ya hayo aliyosema unaweza kuwa tofauti na alivyoelewa mwingine uliyekuwa naye hapo alipokuwa anaeleza hayo?

Sijaandika popote kwamba nalazimishwa kuamini au unadanganya; nasema inawezekana hukumuelewa alichosema, kwa sababu mazungumzo yenu unayosema unayawasilisha hapa hayana ushahidi wowote kwamba ndivyo alivyozungumza.

Kuhusu "maslahi", ngoja nikuonyeshe mfano kutokana na uliyoandika hapo juu:

"Huyo Daktari namuongelea hapa anawakilisha WHO na sio mtanzania. Huo ulikuwa ni mtazamo wake binafsi kuhusu JPM alivyopambana na Covid 19"

Soma vizuri hayo maneno uliyoandika hapo. "JPM alipambana na COVID-19" kwa njia zipi ambazo ni za tofauti na kwingine duniani.
Kama ni yeye pekee ndiye alipambana kwa njia tofauti na kuleta mafanikio ambayo wengine hawakuyapata, yeye huu ujuzi juu ya ugonjwa huu mpya aliupatia wapi hadi akajua namna ya kupambana nao tofauti kabisa na hao wengine?

Nimekwambia Daktari alimsifia JPM kwa kuwa na msimamo thabiti wa kutokuyumba na kufuata mkumbo.

Akasema jambo la kwanza kutokuweka lockdown, pili, kutoa watu hofu kwamba huu ugonjwa huenda tukawa nao mda mrefu au ukaja mwingine hatari kuliko huu lazima tujifunze namna na kuishi nao.

Tahadhari zilichukuliwa, shule zikafungwa, maeneo ya mikusanyiko, uvaaji wa barakoa, vitakasa mikono.

Kingine alichofanya ni kutilia shaka vipimo na kuagiza uchunguzi wa maabara ufanyike. Kitu ambacho alionekana kituko licha ya nchi zingine nazo kukiri kuna shida kwenye vipimo vya Corona.

Tukafungua shule na vyuo huku shughuli za uchumi zikiendelea, kumbuka hayo yote yamefanyika tukiwa tunashutumiwa kuficha taarifa na kusitisha kupima maambukizi mapya.

Rudia tena kuelewa, alichosifia ni kusimamia maamuzi yako akaenda mbali kwa kwamba yeye hata kama mtu anasimamia jambo lisilosahihi anaheshim msimamo. Yeye ni mtu wa Eritrea.

Shida yake na JPM ilikua kwenye kutokutoa taarifa za maambukizi mapya.
 
Sikiliza, hata Marekani hiyo idadi ina utata.

Wapo wanaokufa kwa sababu zingine, lakini kwa vile wanakuwa na baadhi ya dalili za hiyo COVID,vifo vyao vinasajiliwa kuwa wamekufa na huo ugonjwa.

Pia, hospitali zinapata hela zaidi toka serikalini endapo zitaorodhosha wagonjwa kuwa ni wa COVID-19 na wako kwenye mashine za kupumulia.

Soma hiki kipande cha USA Today, moja ya magazeti ya huko, ambao waliyafanyia fact check hayo madai.

“Our ruling: True
We rate the claim that hospitals get paid more if patients are listed as COVID-19 and on ventilators as TRUE.
Hospitals and doctors do get paid more for Medicare patients diagnosed with COVID-19 or if it's considered presumed they have COVID-19 absent a laboratory-confirmed test, and three times more if the patients are placed on a ventilator to cover the cost of care and loss of business resulting from a shift in focus to treat COVID-19 cases.”

Fact check: Medicare pays hospitals more money for COVID-19 patients

Kwa hiyo idadi yako haielezei ukweli wala uhalisia wa mambo ulivyo!

Wengi wa waliokufa walikuwa na comorbidities. Yaani hawakufa kwa sababu ya gonjwa moja tu. Walikuwa na magonjwa au gonjwa jingine. Wengine walikuwa na terminal illnesses.

Kwa hiyo kusema tu watu zaidi ya 130K wamekufa kwa sababu ya Corona bila kuelezea muktadha, ni sawa na kukwepa kusema ukweli.

Jingine ambalo umelikwepa, ni idadi ya waliopona na wale ambao walikuwa nayo lakini wala hawakuumwa. Unaweza nitajia hiyo idadi?
Sio marekani tu kwenye vifo vingi.Ni nchi ni nyingi tu zina maelfu ya vifo.Tatizo lipo na usipopima utakuwa na vifo vichache.I dont see any problem with USA government to provide incentives to hospitals with highest number of cases.Testing is one of the best preventive strategy.
South Afrika vifo 5000.Brazili vifo 70000.Italy vifo 35000.
 
Back
Top Bottom