Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Wabunge wanachanguliwa na wapiga kura kwenye majimbo yao.Siasa za majimboni ni tofauti kabisa na siasa za hapa JF
 
Juma Nature - Temeke
Afande Sele - Morogoro
20 percent - Mvomero
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!

Huyo hata adhkr uchi hawezi shinda Mwanga.
 
hawa hawatarudi:
Mtoto wa Rais Rizwan
Lusinde
John Komba
Lowassa .....
Stella Manyanya
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu

Plus shibuda nae hatarudi,hapo kwa wanawake si washangaliaji tu hata wale vinara wa taarabu bungeni. Waende wakaunde bendi,kazi ya bunge hawaiwezi.
 
Kafulila ni wakwanza maana ni mbuge bora kwa mwaka huu amesababisha kwa mara ya kwanza kuisha saa tatu uck
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu

Vipi Asumpta Nshunju Mshama?
 
Mkosamali hakubaliki kabisa huko Kibondo,na UKAWA ni bora wakafikiria mbadala wa Kupambana na RC wa Arusha vinginevyo kuna kila dalili za jimbo kurudi CCM.Na pia kwa Mkosamali kama anasoma alama za nyakati akivuta tu hiyo pension ya 150M basi afungue law firm ya kisasa achape kazi na pia anaweza kuanza master program otherwise asithubutu kuweka hela yake kwenye kampeni kwani italiwa na ubunge ataukosa.Huu ni ushauri wa bure japo hata mimi ningependa Mkosamali aendelee kuwepo.
Kumbe ni Lawyer, ndio maana jana alikuwa akiwakamata pabaya.
 
Back
Top Bottom