Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Popote Zitto akigombea atapita?Hata Kyela?

Aje Kyela akipata kura hata 100 tutaiomba Tume imtangaze kama mshindi

Kashindwa Kigoma Kaskazini,vigezo gani vitamfanya achaguliwe kila Jimbo?
Tatizo Kyela mgombea lazima ajue kimalafyale.
Kikwazo ni ukabila tu.
 
Godbless lema- arusha mjini
joshua nassari-arumeru

Nasari anaweza akafurukuta Lakini Lema, kileo, na mnyika Damu ya Chacha wangwe imeshawamaliza hawapati Ubunge na sasa Mnyika anataka amumalize Dr slaa ili awe katibu mkuu, na mbowe awe mgombea Urais kwa tiketi ya Ukawa, yaliwahi kuwakumba NCCR mageuzi, TLP na chama cha mzee Cheyo ndiyo yanawakumba Chadema mda si mrefu. R.I.P chacha Wangwe.
 
Popote Zitto akigombea atapita?Hata Kyela?

Aje Kyela akipata kura hata 100 tutaiomba Tume imtangaze kama mshindi

Kashindwa Kigoma Kaskazini,vigezo gani vitamfanya achaguliwe kila Jimbo?
Mkuu umeenda mbali, nani amdanganye ili aje "sasa unaingia Kanda maalumu" TARIME. Akija huku aje na container la Helmet
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!
Kilewo, mnyika na Lema hawawezi kuwa wabunge tena, Halima mdee yeye analudi CCM baada ya kugombana na Lisu anakimbia Fitna za akina Lema wasije wakamchacha wangwe haraka.
 
Huyo mpumbavu wsko prof jay atausikia ubunge kwet bomba anadhani kila siku ni jumapili, kwa sababu sugu alishinda ubunge na alikuwa msanii na yeye ataupata.
 
Mkuu umeenda mbali, nani amdanganye ili aje "sasa unaingia Kanda maalumu" TARIME. Akija huku aje na container la Helmet

Huko kwenu watu ni wanafiki sana, Ni kijana mmoja tu kule Kijijini kwa chacha wangwe alithubutu kumpiga mbowe mtama hadi akakimbia pasipo kuzika, yule kijana si Mnafki wengine woote siku Hizi ni full Unafiki, mbowe na wabaya wa chacha wangwe wamehutubia mara Nyingi hapo Tarime pasipo kuwa na Helmet.
 
Henry Kilewo hawezi kupata Mwanga japo tumejipanga kuhakikisha wapinzani wanashinda ila si wapinzani wa aina ya Kilewo a can bet

Huyu ana Laana ya kumwagia watu Tindikari pia laana ya chacha wangwe umemganda pamoja na wenzake akina Lema.-Mnyika na Deus malya.
 
Jimbo la dodoma mjini mbuge malole ni kama tumeweka pazia hakuna halicho fanya vijana tuna taka kufanya mabadiliko makubwa tumevumilia kumechoka
 
huku kwetu songea emmanuel nchimbi hana chake,hawez kurud mjengoni,ni bora aage kabisa.......
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!
Sugu , lema na msigwa hakuna anayeweza kuwazuia hata kama wasipopiga kampeni .
 
Wakuu ni kweli kuna baadhi ya waheshimiwa wamekalia kuti kavu ikiwepo mbuge wetu wa jimbo la dodoma mjini mheshimiwa malole muda wake umefika mwisho kuna kijana tunataka tumpe jimbo hatufikishe pale tunapo hitaji huwezi kuwa mbuge wa posho mpaka lini?
 
Henry Kilewo hawezi kupata Mwanga japo tumejipanga kuhakikisha wapinzani wanashinda ila si wapinzani wa aina ya Kilewo a can bet

Ukweli mnaujua hamuwezi kushindana na Kileo Pale Mwanga, hakuna wa kumzuia kileo kushinda lile jimbo huwo ndiyo ukweli wenyewe. Mnapiga kelele hapa kamanda yupo kazini.
 
masumbuko naungamkomo hoja kwa mwanga hata kama kileo hataingia lakini maghembe hatarudi labda atumie ule uchawi wake wa kumwaga dawa kila kijj mwanga hii

Ni ndoto pekee kwa anayeifahamu mwanga kuota kuwa kileo hawezi kushinda.
 
Mkuu kwa Mwanga mshaurini Henry Kileo asipoteze rasilimali zake akajaribu kwingine.

Maccm na ACT tunajua kwasasa mmeungana kwaajili ya kushambulia makamanda wa ukweli kama Kileo nk. Ukweli ni huu, 2015 mtake msitake mbunge wa pale Mwanga ni Kileo.
 
Back
Top Bottom