Mtandika One
Member
- Jun 22, 2014
- 27
- 19
Maccm na ACT tunajua kwasasa mmeungana kwaajili ya kushambulia makamanda wa ukweli kama Kileo nk. Ukweli ni huu, 2015 mtake msitake mbunge wa pale Mwanga ni Kileo.
Bora umewaambia ukweli kabisa wajue hawawezi kushindana na lile jembe. Kumshinda kileo mwanga ni ndoto isiyooteka. Wakamuulize baba yao maghembe kileo ni nani atawaambia habari zake.