Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Mkosamali akikosekana bunge litakuwa kama mboga isiyo na chumvi.
Mkosamali hakubaliki kabisa huko Kibondo,na UKAWA ni bora wakafikiria mbadala wa Kupambana na RC wa Arusha vinginevyo kuna kila dalili za jimbo kurudi CCM.Na pia kwa Mkosamali kama anasoma alama za nyakati akivuta tu hiyo pension ya 150M basi afungue law firm ya kisasa achape kazi na pia anaweza kuanza master program otherwise asithubutu kuweka hela yake kwenye kampeni kwani italiwa na ubunge ataukosa.Huu ni ushauri wa bure japo hata mimi ningependa Mkosamali aendelee kuwepo.
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu

Kuna mototo wa mbwa mmoja anaitwa lusinde asirudi jamani eeee
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..
Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!
Mh Mosena Nyambabe-Serengeti(NCCR-MAGEUZI) John Heche - Tarime Mjini (CDM)
 
Zitto kabwe -Ubungo

Ninaomba Zito akagombee jimbo la Ubungo ndo tutaona mbıchı na mbivu.Mnyika atamshnda Zito kwa mbali japo jimbo litanyakuliwa na CCM.Chadema hawamuhtaji Zito, wachache wehu ndo wafuasi wake ambao washamfuata ACT.Pıcha tumeiona serikalı za mitaa.
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..
Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!

kuna Jembe linaitwa Malick M. Malick #MTAMA2015
#mwenyewe anajiita MALICK atosha
 
Last edited by a moderator:
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu

masumbuko naungamkomo hoja kwa mwanga hata kama kileo hataingia lakini maghembe hatarudi labda atumie ule uchawi wake wa kumwaga dawa kila kijj mwanga hii
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..
Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!

Mkuu kwa Mwanga mshaurini Henry Kileo asipoteze rasilimali zake akajaribu kwingine.
 
sio lazima wawe wabunge!! wanaweza kupumzika!!! hatuitaji mazoea!!! kuna watu wengi sana wanadhani ni kuleta masihara kwenye maendeleo!!!!
 
Back
Top Bottom