Willy malamsha
Member
- Mar 19, 2011
- 47
- 5
Nan ampe huyo henry maisha yaani hapo umetaja matoy tu weka x uwezo wako kufikiri mb 124
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu
Wafuatao nao walipaswa WASIRUDI mjengoni:
1. Juma Ngamia
2. Job Lusinge
3. Mafiadi wooote akiwemo mzee wa vijisenti.
Joseph Tadayo - Mwanga kupitia CCM
Kuna kitu anasubiri,ila amini anakuja kugombea ondoa shaka ndugu!Umoja wa vijana wasomi wa .. Kilomeni..kisangara juu .. Hedaru ..makanya ..lembeni .. Na usangi wanamtafuta sana huyu jamaa tatizo lake naye anakaa kimya sana .. Wana Mwanga hatutaki chama tunataka mtu.
Zitto akigombea UBUNGO du........
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu
Mnyika hajafikia level ya zitto wewe acha ushabiki wa kijinga, zitto ni mwanasiasa anayeweza kugombea popote na akapita.
Joseph Tadayo - Mwanga kupitia CCM