Kwa Kuongezea nazan umemsahau Kafulila mkuu!
Hii sasa chuki binafsi, ina maana hata huyu kazi yake ni kushangilia tu !!??
Kwa Kuongezea nazan umemsahau Kafulila mkuu!
Hahahaha hilo jimbo la cdm zambi akalime viazi tu
Zitto kabwe-ubungo
Joseph Mbilinyi-mbeya mjini,
Silinde-momba,tunduma.
Hawa watarudi kwa kishindo pia.
huyo watatu bwana kilewo mumewe joyce kiria atamruhusu kweli, manake nasikia ameolewa kwa joyce huyo hana tofauti na mbasha na mwenzie gadna. halafu, ameacha ugaidi? halafu anatakiwa arudishe kwanza mke wa watu, huyo sio mkewe kihalali alishaolewa kwa ndoa ya church akaishi na bwanake miaka 8 kilewo akaja kumwiba. amebemendwa miaka 8 halafu yeye anajifanya ndio bebi wake. rudisha mke wa watu kwao ndio upate ubunge.
Mbeya mjini Sugu harudi tunampa Mbuza
umesahau kuna rorya mtu anaitwa lameck Airo atutaki kuona ata sura yake,badala yaje aje owawa au makohoko
Pole kaka Chadema bado sana Rorya labda mgepata kiongozi wa kitaifa aje agombee lakini bila hivo CCM bado watapita Rorya kwa sababu za kikabila
Kuna kitu anasubiri,ila amini anakuja kugombea ondoa shaka ndugu!
ZZK-Ubungo
Katani - Tandahimba
Juma Manguya - Newala
Abdallah Uledi - Mtwara mjini.
Sadick songoni - Tunduru kusini
Mbogoro - Songea mjini
NGwatula - mbinga mashariki