Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Ni kweli mkuu unayoyasema lakin hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Matunda yake Yalionekana na ni Dalili tosha za Ukombozi kwa Wan Mwanga!

Nakubaliana na wewe sana hasa kwa mchango wa Kileo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ila kama anataka kushinda lazima abadil mtindo wa harakati zake. Kumbuka Mwanga ni jimbo ambalo vijana wake wengi hawapo nyumbani kwa hiyo sio wapiga kura na wazee waliopo ni ngumu kumuelewa Kileo kama hatabadilika.
 
Hamis Maulidi ambaye ni Afisaelimu wa Mkoa wa Mwanza ana nafasi kubwa ya kushinda Singida Mashariki. Katika kura za maoni atapambana na Mhe. Lt (msitaafu) Chiku Gallawa ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Maulidi ambaye ni mwenyeji wa Ikungi ana nafasi kubwa ya kushinda na hivyo kukutana na Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba
 
Ajipange sana kam anatak kupamban na Lissu!
 
Ole sendeka namkubali sana huyu mzee yupo makin utadhani sio ccm.
 
Pia kuna laurent kyombo, meneja wa tfda kanda ya kati, dodoma. Ametangaza nia kupitia ccm jimbo la nkenge na anafaa kumrithi asumpta mshama - yule mama kilaza aliyewachefua wengi wakat wa mjadala wa escrow
 
ZZK kigoma mjin
Haitotokea na mtu asiwadanganye kwani vita ya kigoma mjini ni hii Zito anashindana na wapinzani 3,wakwanza ni ccm,2 chadema msizani chadema imekufa kabisa No bado kuna watu wanaipenda chadema kama chama wanasema alihama Dr Amani K hawakuhama ije huyu na mpinzani wa 3 mkubwa kabisa ambae zito atapambana nae kila atakapoenda ni Mafisadi wa Escrow hatamwacha ashinde tena kwa gharama yeyote.Ubunge Kigoma mjini asahau muda ukifika mtakumbuka kauli yangu nawajua wanakigoma usiwaamini hata kidogo hawachelewi kukugeuka na kusema KAYE na jimbo lake la mwanzo kalikimbia sababu asingeshinda.
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!

Rostam Aziz-Muleba kusini
Pinda-Buchosa
Paul Makonda-Unguja kaskazini (Zanzibar)
 
Back
Top Bottom