Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

david malole dodoma mjini
livingstone lusinde mtera
job ndugai kongwa
simbachawene kibakwe
shabiby gairo
jituson babati
lema arusha mjini
kafulila kigoma kusini
machemli ukerewe
vicent nyerere musoma mjini
magufuli chato
idd azan kinondoni
juma nkamia kondoa kusini
habibu mnyaa mkanyageni
peter msigwa iringa mjini
mbowe hai
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!

Chinga One -mtwara mjini!
 
Last edited by a moderator:
mkuu katani hawezi kuchaguliwa na wanatandahimba kuwawakilisha,ni mwepesi sn hata siasa hajui.sanasana anachojua matusi kwenye siasa hamna kitu hapo.juvicuf tu ilimshinda wakampiga chini.wanaukawa mm ni mkaazi wa tandahimba tunahitaji mabadiliko lkn katani msituletee.bora tuwape kura ccm kama mtamsimamisha katani

were uko tandahimba gani were lands mchichira kwa akina nkurunziza njuwayo,huku katani anashinda asubuhi sana
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu
Asumpta Mshana
 
Back
Top Bottom