kisambo unatabiri au unabashiri? usivuke daraja kabla hujafika kingoni mwa mto utatumbukia mtoni...unategemea mikumi na mwanga na vunjo ccm tutalala tuwaachie hao? labda wanunue kura
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..
Prof Jay-Mikumi
Henry Kilewo-Mwanga
James Mbatia-Vunjo
Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!